MABANTU feat. Marioo - Nakesha текст песни

Текст песни Nakesha - Mabantu



(Gachi)
Yo God Father
Si wanapenda kubang
Ok...!
Nekesha Club ×4
(Gachi B)
Nakesha Club x 4
Kanee...
Nakula mtaji tutajuaga keshoo
(Nakesha club)
Japo pesa ya maji ila nimeitolea jashoo
(Nakesha Club)
Oya mapenzi konyoo, (konyo)
Nimeinua mikono (kono)
Kamanzi kangu na my best friend
Nimekuta wanakula mdomo kwa mdomoo aya...
Skia sasa...
Home kuna huyo nyange maDj kutwa nyimbo za kizungu
Sijui anajikuta Jigga (Nakeshaaa)
Na kuna jirani anaki-Ben 10 usiku anapelekewa moto
Kelele ka kuna msiba (Mmh Fuck)
(Nakesha Club)
Daah... Leo litakufa jitu...
(Nakesha Club)
Aah mtaniua wee.!
(Nakesha Club)
Shiiiii...!
(Nakesha Club)
Bad bad bad...
(Nakesha Club)
Baby kaniacha usiku umezidi kuwa mrefu
(Nakesha Club)
Wenzangu wanaelewa mi nilizama kina kirefu
(Na Nakesha Club)
Oya wanangu kina (Kinaa)
Mwenenu nilizama kina (Kinaa)
Nilimpa macho 3 na shoo za kibabe
Tatoo nikamchora jina (Jina)
Skia sasa...
Kusema ukweli nilihudumia
Ili asipate shida ye akaniona danga (Nakeshaa)
Yaani hakunihurumia licha ya kumfungulia duka
Mpaka nyuma nikapanga mamaee...
(Nakesha Club)
Daah... Leo litakufa jitu
(Nakesha Club)
Aah mtaniua wee...
(Nakesha Club)
Bado nipo nipo sana mtanikuta kesho
(Nakesha Club)
Leo... kitanda changu ni Counter ntalimiss ghetto
(Nakesha Club)
Oyaa wanangu ghetto (Ghetto)
Nitalimiss ghetto (Ghetto)
Hata nikipata bebe tutamaliza toi
Wanangu sirudi ghetto (Ghetto)
Skia sasa...
Kuna jirani anajikuta mpenja kutwa dirishani kwangu
Makelele ya kandanda (Nakeshaa)
Na kuna swala mi sijalipenda
Home wamenipa skendo et nauzaga ganja (shit)
(Nakesha Club)
Daah Leo litakufa jitu...
(Nakesha Club)
Aah mtaniua wee...
(Nakesha Club)



Авторы: Muuh Mabantu, Mwarami Kajonje, Twaah Mabantu, Twarha Kanengo


MABANTU feat. Marioo - Nakesha
Альбом Nakesha
дата релиза
05-05-2021




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.