Marioo feat. Jovial - Mi Amor текст песни

Текст песни Mi Amor - Jovial , Marioo



Mi amor
Teamo
Huuu baby mo na mor
Hakuna mwingine wa kumsikia
Kwenye masikio yanguu
Hakuna mwingine wakumuona
Kwenye macho yangu
Nibebe ni bebe
Hunny
Nishushe mahabani
Aaah
Nigege no gege
Aaah
Mie kwako taabani
Heeeeeee mi amor
Mmmmh
Nikwite jina gan baby hunny
Mmh
Mona mor
Eeeeh
Mia mor
Mmmh
Nikwite jina gan mahabuba laziz
Mona mor a
Mmmh
Eeeeh
Heiiii Yee
Baby heii yeeh
Moyoni ulivyo ni kaa never seen before
Unavyo nipa seen before
Wengine wa nini
Hooo la la la lalalaaaaa
Never seen before
Tuwe wote mpaka kifoo
Maduga embe wa nini
Hoo la la la la la la laaaa
Kwenye joto ni Pepe
Kwa baridi nikumbate
Kwenye mvua nikinge
Uwe mwanvuliii
Nibebe ni bebe hunny
Nishushe mahaban
Ooooh
Ni gege ni gege
Mi kwako taaabani
Eeeeeeeeh
Mia mor
Nikwite jina gan baby hunny
Mmh
Mona mor
Eeeeeh
Mia mor
Nikwite jina gan mahabuba lazizi
Mona mor
Oooh
Mona mor




Marioo feat. Jovial - Mi Amor (feat. Jovial) - Single
Альбом Mi Amor (feat. Jovial) - Single
дата релиза
23-12-2021



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.