Marioo - Anyinya текст песни

Текст песни Anyinya - Marioo



Aiyayayaa
Blacq
Aah inama nione yote yote
Cha ngama nilani kama yote
Changa nipe mavi makopakopa yo la lai
Kaanga maviazi kwakutokota kiepe yai
Ikatie karoti uisage iwe rojorojo (rojorojo)
Nishamwaga noti nikirudi nikute sotojo
Unyunyuzie na sauce unavyotenga ongeza mikogo (kogo kogo) ah
Uitumie uwezavyo hii ya matumizi ya ndani tu
Chukua yote yako
Nakupa chukua yote yako eh
Nakupa chukua yote yako eh
Pesa chukua yote yako ya matumizi ya ndani tu
Anyanyinya anyanyanya anyanyinyanya anyanyanya
Nataka nyama kipapatilo eh
Kipapatilo ya kuku wa kienyeji eh na sembe kilo
Nimemiss nyama kipapatilo eh kipapatilo na kakuku ka kienyeji eh
Ay kwenye mboga chumvu iwe kidogo kidogo naogopa safura eeh
Wese mwaga kidogo kidogo mapresha eeh
Ikatie karoti uisage iwe rojorojo (rojorojo)
Nishamwaga noti nikirudi nikute sotojo
Unyunyuzie na sauce unavyotenga ongeza mikogo (kogo kogo)
Ay Uitumie uwezavyo hii ya matumizi ya ndani tu
Chukua yote yako
Nakupa chukua yote yako eh
Nakupa chukua yote yako
Pesa chukua yote yako ya matumizi ya ndani tu
Anyanyinya anyanyanya anyanyinyanya anyanyanya
The Mixing Killer



Авторы: Omary Ally Marioo


Marioo - Anyinya
Альбом Anyinya
дата релиза
24-10-2019




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.