Maua Sama - Iokote текст песни

Текст песни Iokote - Maua Sama




Hey
Heey...
Oh uuuh yeah
Oh baby, niruhusu tufanane
Huku nikiamini one day, Utanioa aah
Baby nikikuona nabanwa na haja
Baby nakuwaga kitoto ng'ag'aa
Tell me nikipita kupa mawazo
Ooh baby kati nakutunuku uliniambia
Kwa kichomi nikande
Kwa moto baridi usigande
Kama ruba nigande
Tuwe wote eeh
Aah come baby come baby
Msumali kwa nyundo nigonge
Ohh Monday to Sunday
I love you
Mmmh oh basii
(Lokote)
Sio kwa bed kwa kochi kitanda naichumia
(Iokote)
Nikiona kwa juu chini naizamia
(Iokote)
Sungura nipe karoti maharage sijazoea (iokote)
Nakunja goti napandisha mori nachechemea
Oh yeaaahh...
Baby...
Baby
Ukitoka kuoga nitengee ya moto moto (aah)
Tinga moka kitenge tutoke mtoko (aaah!)
Boda kwa boda tutembee
(Chocho kwa chocho)
Tena nikichoka nibebe
(Mi kwako mtoto)
Aiye eh
Rafudhi ya Pemba rangi ani hai (Hai)
Nywele kihindi chambi chambi (nai)
Cheza rafu kona bambii,
Mpoko mpoko
Heeeii
Refa katupa penatii (ahaa eeh)
Mpira ushawekwa katiiii (aahh eeh)
Nahitaji magoli kwa chenga zako piga shuti nikudakie
Kwa kichomi nikande
Kwa moto baridi nisigande
Kama ruba nikugande
Tuwe woteee (eeh)
Uhuu yeeeeh
Aah come baby come baby
Msumali kwa nyundo nigonge
Ohh Monday to Sunday
I love you
Mmmh oh basii
(Lokote)
Sio kwa bed kwa Kochi kitandani naichumia (iokote)
Nikiona kwa juu chini naizamia (Iokote)
Sungura nipe karoti maharage sijazoea (iokote)
Nakunja goti napandisha mori nachechemea
Oh yeaaahh...
Baby... Baby



Авторы: Maua Sama


Maua Sama - Iokote
Альбом Iokote
дата релиза
19-09-2018

1 Iokote




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.