Mbosso feat. Ruby - Pole (feat. Ruby) текст песни

Текст песни Pole (feat. Ruby) - Mbosso , Ruby



Na nasda tena, nasdaaa
Ohh sweetie sweetie nisikilize
Sweetie niseme nimalize eeh
Mungu amekutanisha sweetie eeh
Ana maana yake
Mungu katuunganisha sweetie wewe
Kwa neema zake
I talked to mama i want to marry
Nitakuja kwenu nitoe mahari
Aaah aah
Me nawe tuanze safari
Ni mbalii kinaa
Mbaazi na chorokooo
Utofauti utaujuaa
Jungu kuu wake ukoko
Yani ni kukwangua
Mie ndama kwako mtoto
Usije kunikafua
Penzi tulipashe moto
Wakigusa waungua
Mithili ya watoto mapacha
Tunavyopendana
Mambo ya uzungu na usasa
Tunayopeana
Penzi talivujisha pakacha
Tunavujiana
Wale wenye uchu wa paka
Ili penzi la wakwama
Nasikia twawaumiza
Polee tunawapaa poleee
Penzi lawakereketa
Polee tunawapa poleee
Hasidi watu wabaya
Polee tunawapa poleee
Wameze panadol huenda watapoa
Polee tunawapa poleee
Sweetie sweetie nisikilizee
Sweetie sweetie na me nikujuze
Eeh shubiri shubiri
Chungu honey
Nashindwa kuficha siri za chumbani
Weee babaaa
Umekithiri mahabani
Akili yangu na mwili taabani
Eeeh
Penzi upepo lapepea
Honey twende mbaaliii
Kuni nitazichochea ili uje kupala wali
Mithili ya watoto mapacha
Tunavyopendana
Mambo ya uzungu na usasa
Tunayopeana
Penzi tunalivujisha pakacha
Tunavujiana



Авторы: Mbwana Yusuf Kilungi


Mbosso feat. Ruby - Khan - EP
Альбом Khan - EP
дата релиза
28-10-2022



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.