Текст песни Haijakaa Sawa - Mbosso
Sasa
unanuna
nini?
Au
unadhani
hata
mimi
napenda
Nishazichoka
na
mimi
Mboga
za
majani
kila
siku
mlenda
Siko
juu
siko
chini
Niko
nusu
sadoo
Sio
wa
kumi
si
sabini
Ngoma
ngumu
bado
Kama
ibada
naswali
sana
Usiku
wa
manane
Tena
nafunga
na
Suna
Mambo
bado
bado
mwana
wane
Naona
yanazidi
kuguma
Nikirudi
na
hasira
hasira
(nizoee)
Mambo
magumu
bado
bila
bila
(niombee)
Nikirudi
na
hasira
hasira
(nizoee)
Mambo
magumu
bado
bila
bila
(niombee)
Halijakaa
sawa
Nivumilie
ipo
siku
tutapata
Halijakaa
sawa
Shida
na
dhiki
zitakwisha
baby
Halijakaa
sawa
Kuchana
kope
make
up
utapaka
Halijakaa
sawa
Tutabadili
mboga
kuku
kwa
manyama
Chochea
kuni
kipenzi
changu
Asubuhi
tumbo
likikuming′inya
Pokea
kidogo
changu
Tunywe
chai
na
mkate
wa
kumimina
Akili
ikichoka
riziki
nikikosa
Najua
kwako
nitajiliwaza
Kama
makosa
nivute
chumbani
Kununa
nuna
unajilemaza
Ustahimilivu
mnao
wachache
mno
Jua
shida
rafiki
wa
mbivu
Baada
ya
dhiki
mavuno
Kila
jema
lina
maumivu
Na
kwenye
waliopo
tumo
Yarabi
salama
tupe
tulivu
Penzi
lisifike
kikomo
Iyee
eeh
eeh
Nikirudi
na
hasira
hasira
(nizoee)
Mambo
magumu
bado
bila
bila
(niombee)
Nikirudi
na
hasira
hasira
(nizoee)
Mambo
magumu
bado
bila
bila
(niombee)
Halijakaa
sawa
Nivumilie
ipo
siku
tutapata
Halijakaa
sawa
Shida
na
dhiki
zitakwisha
baby
Halijakaa
sawa
Kuchana
kope
make
up
utapaka
Halijakaa
sawa
Tutabadili
mboga
kuku
kwa
manyama
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.