Mbosso - Ova текст песни

Текст песни Ova - Mbosso



Vishavu vimeanza kunona
Kitambi ndo hichi sasa ona
Nitazame, nanenepa nanenepa
Nami nimempata chioma
Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kunitukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear
Ova ova
Ova mi na wewe ova
Ova imetosha ova
Ova mi na wewe ova
Ova nimesema ova
Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kuntukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear
Shilingi shilingi shilingi
Shilingi yatutoa roho shilingi
Shilingi yo ni mwanaharamu shilingi
Shilingi ya ua mapenzi
Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kuntukana
Kwakweli hapana nikasema ova dear
Ova mi na wewe ova
Ova imetosha ova
Ova mi na wewe ova
Ova nimesema ova
Ulijichanganya, na nilikupenda sana
Walokudanganya, ndo walokuponza dear
Kujitia mpana, mara kuntukana
Kwakweli hapana, nikasema ova dear
Ova ova



Авторы: Mbwana Yusuph Kilungi


Mbosso - Ova - Single
Альбом Ova - Single
дата релиза
06-11-2024

1 Ova




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.