Mbosso - Tamu текст песни

Текст песни Tamu - Mbosso



Wasafi Records...
Ooh Kasuku mwenye sauti nyororo
Mususu ya soro ndombolo
Na bando letu la buku twapeluzi mpaka tomorrow
Mambo iko huku penzi twalila kwa solo
Hmmm
Anipelekesha msobe msobe Kama fuso lapanda mlima
Na nilivyo fundi kuchelewesha Kobe kobe
Simpi dusko nzima nzima (aah)
Mukoroge sumu mnywe wenye vijiba vya roho
Yata watoka mapunye muumwe kwashakoo
Tena wavimbe na wanune ishakua yako
Itafune imung′unye ifike kunako
Ooh baby Kushika kiuno (tamu)
Niku chumu chumu (tamu)
Niki kukumbatiaa (tamu)
Tamu kolea
Penzi letu baby (Tamu)
Yani mpaka kisogoni (tamu)
Torororoo (tamu)
Tamu kolea
Baby tufanye wazi wazi watuone
Picha weka DP na makopa kopa caption
Baby walokosa kazi wanong'one
Wapandishe BP Wapumue kwa oxygen
Waambie vimberu mberu Sio penzi la mashaka
Tusha soma dua kusitirika kwa wenye macho ya paka
Wambiee Mimi beberu sio jogo la pasaka
Wanajizugua kukunja ndita watazeeka haraka
Steel wire ananisugua (Kwa makovu kovu)
Hanaga mbaya laazizi (show mbovu mbovu)
Tena fundi mwaya Kazi anaijua (My love love)
Haijawahi kupwaya yani kidhi
Mukoroge sumu munywe wenye vijiba vya roho
Yata wa toka mapunye Mumwe kwashakoo
Tena wavimbe na wanune ishakua yakoo
Itafune imung′unye ifike kunako
Ooh baby kikushika kiuno (tamu)
Niku chumu chumu (tamu)
Niki kukumbatiaa (tamu)
Tamu kolea
Penzi letu baby (tamu)
Yani mpaka kisogoni (Tamu)
Torororoo (tamu)
Tamu kolea
Ebo baby mtoto kakua (kasima dede)
Nimtazame (Kasimama dede)
Mwana anatembea (Kasimama dede)
Yani tee tee Anataka aking'ate (Kasimama dede)
Kaona kitumbua (Kasimama dede)
Amekua baba (kasimama dede)
Yani tee tee tee




Mbosso - Tamu
Альбом Tamu
дата релиза
25-12-2018

1 Tamu




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.