Michael Magow feat. Eli Wayne - Sipotei текст песни

Текст песни Sipotei - Michael Magow feat. Eli Wayne



Heeey
Haah! Oooh Ooh
Big Magow you already know wtf goin on
Hata kama sina kitu lakini bado sipotei (Ah)
Kwenye life sipotei
Sihitaji mixed feelings
Mixed feelings (Ah)
Hata kama siongei
Uliongea shit why you call me sipokei
Uliongea shit why you call me sipokei
Mitaa inaelewa what you tryna say
Hata kama jua kali still got different ways
Ulisema mwana ila siku hizi hutokei
Kama mwanangu why you change
Why you changin on me
Nigga why you change on me
I see you put blame on me
I bin on the street get money like im pose to be
Mishe kila kona mi na grind what they want from me
Early in the morning mi nawasha get my mind ready
Nipo kwenye Marathon
Mama told me stay strong
Life is like a jungle
Really im at the war zone
Nipo na wanangu halafu hatuitaji vikwazo
Habari zao hatuna ila habari zetu wanazo
We bin on some shit ila hatuitaji mawazo
We can not complain tunashkuru tukipata
Japokua kwenye life bado kuna utata
We dont fear nobody halafu wanangu wote shooters
Hata nkiwa mtaani sehemu flani utanikuta
Hatanikiwa mtaani sehem flani utanikuta
Hata kama sina kitu lakini bado sipotei (Ah)
Kwenye life sipotei
Sihitaji mixed feelings
Mixed feelings (Ah)
Hata kama siongei
Uliongea shit why you call me sipokei
Uliongea shit why you call me sipokei
Mitaa inaelewa what you tryna say
Hata kama jua kali still got different ways
Ulisema mwana ila siku hizi hutokei
Kama mwanangu why you change
Why you changin on me
Kama mwanangu why you change on me
Ah, Eli i see you



Авторы: Michael Magori


Michael Magow feat. Eli Wayne - Sipotei
Альбом Sipotei
дата релиза
06-03-2021



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.