Mimi Mars - Papara текст песни

Текст песни Papara - Mimi Mars

S2kizzy baby...
Nishawahi kuwaza sana
Nakujua kwa nafsi nachohitaji ni mapendo na furaha
Japo nishateswa sana ila najua
Ipo siku nitapata mmoja ambae anaenifaa
Mara moja chozi limenitoka, bado yapite kama nyoka
Siishi kulialia machungu kuvimilia
Kulizwa lizwa nishachoka kutumika kama bazoka
Mengi nimeshapitia (Ila moyo ndo umekosa papara)
Sina Sina (papara) Sina Sina Sina Sina(papara)×3
Sina Sina...
Macho yanatamani nafsi inatamani kuwa na Amani yake...
Japo sina imani moyo unatamani kuwa na thamani yake.
Mara moja chozi limenitoka, bado yapite kama nyoka
Siishi kulialia machungu kuvimilia
Kulizwa lizwa nishachoka kutumika kama bazoka
Mengi nimeshapitia (Ila moyo ndo umekosa papara)
Sina Sina (papara) Sina Sina Sina Sina(papara)×3
Sina Sina...
(Najua Najuaa nitakuja kupenda tenaaaaa. Eh-ih- yeahhh)
Sina Sina Sina kupenda teena i yeahh(papara)
Sina Sina (papara)×2 Woow yeah Tena iyeeeeeh
Sina Sina...

Авторы: Salim Kassim Maengo, Marianne Namshali Mdee

Mimi Mars - Papara
Альбом Papara
дата релиза
30-03-2018

1 Papara

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.