Текст песни Asanteni Kwa Kuja - MwanaFa
Master!
I'm
in
da
building
Asanteni
kwa
kuja,
thanks
for
coming
Coming,
coming,
coming,
coming
Asanteni
kwa
kuja,
thanks
for
coming
Coming,
coming,
coming,
coming
Shombo
nyingi
zaidi
ya
soko
la
samaki
Ferry
inangoja
hata
beberu
hanipati
Buheri
wa
afya,
hofu
juu
yako
Merci
beaucoup,
njoo
uongee
na
cousin
yako
Naenda
kazini
wakati
wanaenda
vitandani
Sio
salama.
sio
salmini
na
silali
ka
vitani
Hakuna
imani
kwa
ma-snitch
mwana
Njoo
na
panga
ukute
shoka
ka
zamani
zama
Bastola
na
glasi
ya
Vodka
lazima
kuwe
na
sadaka
Madeni
lazima
yalipwe
hata
mdaiwa
asipotaka
Another
day,
another
dollar
(aa
mi
mchaga
mwingine)
Siku
nyingine,
hela
nyingine
Sio
kicheche
mwingine
Asanteni
kwa
kuja,
thanks
for
coming
Coming,
coming,
coming,
coming
Asanteni
kwa
kuja,
thanks
for
coming
Coming,
coming,
coming,
coming
Here
comes
the
beat,
here
comes
the
beast
Mother,
I'm
still
the
best
Ukiniona
kimya
imani
na
mshindo
una-trot
Vita
kwa
vina
money
na
auto
in
the
bank
Kama
ipo
itafika
tu,
spika
za
nini
kachaa
Mungu
akitaka
kukupa
wala
hakuandikii
barua
We
get
money
on
the
right
things,
and
keep
calm
Wenye
kelele
wote
sio
kings,
kuwa
na
nidhamu
Tatizo
la
uongo
ni
kwamba
milele
haufiki
mwisho
Ka
kiporo
utatudanganya
na
kesho
Malalamiko
kibao
ka
mtoto
wa
kambo
Kuruka
ruka
haijawahi
kuwa
dawa
ya
ulimbo
Asanteni
kwa
kuja,
thanks
for
coming
Coming,
coming,
coming,
coming
Asanteni
kwa
kuja,
thanks
for
coming
Coming,
coming,
coming,
coming
Ilikuwa
poa
tu,
ilikuwa
love
tu
Ilikuwa
safi
kabla
mkwanja
hujaleta
makuu
Ilikuwa
shega
tu,
ilikuwa
peace
tu
Ulikuwa
mzuka
ghafla
mkwanja
ukaleta
upuuzi
Love
iko
mbali,
chuki
mwanzo
mwisho
bro
Hata
mi
ni
hater
ka
hunipendi
hivyo
hivyo
bro
Ulete
ubwege
na
nikupende,
mi
ni
Yesu?!
Hakuna
shavu
la
pili,
toa
wembe
nitoe
kisu
Bado
mshabiki
mkubwa
wa
kazi
ya
Mungu
Ila
kama
nakuweza
sikungoji
nakupa
kubwa
wangu
Life
yangu
movie,
na
mi
ndo
director
Hata
ukinielekeza
sio
kitu
inakuwa
extra
Asanteni
kwa
kuja,
thanks
for
coming
Coming,
coming,
coming,
coming
Asanteni
kwa
kuja,
thanks
for
coming
Coming,
coming,
coming,
coming
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.