Nadia Mukami - African Lover текст песни

Текст песни African Lover - Nadia Mukami



Is it true?
Umenichagua Mimi
Kuna fununu, unamuoa yule ah
Lemme play the guitar, tubanjuke
Tuzunguke mitaa, tuwaalike
Harusi itafana, wabambike wale eeeh...
Isukuti love like Mayonde No stress baby usikonde
Forever love nikupende Chini na juu pia upande
Isiwe scandals kiWilly pozee Roho inakuuma njoo nikupoze
Tupendane ujanani pia uzee
All my love I surrender Myself to you, me I render
Eka muziki rhumba na benga Chini Kwa chini si tutakwenda
Tuvume ka Jux na Vanessa Kwenye media together tunatesa
254 si ndo kusema Weehee...
Let me love you the African way
Let me love you like an African lady
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
The African way
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
The African way
Hizi kukuru kakara Za nini sasa,
Achana na wale wagomvi Wanoleta siasa, Niambie,
Nichangie Kama ni nyimbo nikuimbie,
E zali talo makasi ya bolingo (Ya bolingooo) Isiwe
Scandals ki Willy pozee Roho inakuuma njoo nikupoze
Tupendane ujanani pia uzee (uzeeni)
Tuvume ka Jux na Vanessa Kwenye media together tunatesa
254 si ndo kusema Weeehe...
Let me love you the African way
Let me love you like an African lady
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
The African way
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
The African way
Nikuite papa... unaniita mama
Nikuite papa... unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
The African way



Авторы: Nadia Mukami


Nadia Mukami - African Lover
Альбом African Lover
дата релиза
06-07-2018




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.