Naiboi feat. Ben Pol - Mmoja текст песни

Текст песни Mmoja - Ben Pol , Naiboi



Shakolobo shakolobo shakolobo sha sha
Shakolobo shakolobo shakolobo sha sha
Shapta ng'ani mmoja, shamo langa moja
Shapta kanga mmoja now is it you
Shapta ng'ani mmoja, shamo langa moja
Shapta kanga mmoja now is it you
Umbo nzuri na tabia na sura unavutia
Mi nshaumiza mara mia now what yo do
Kama saloon nagaramia ka ni dye nanunua
Mishe mishe na tabia now what to do
Na basi polepole twende mami
Nikunjue ndanindani
My heart a take over me tuwatoke kina nani
Na basi polepole twende mami
Nikunjue ndanindani
My heart a take over me tuwatoke kina nani
Shapta ng'ani mmoja, shamo langa moja
Shapta kanga mmoja now is it you
Shapta ng'ani mmoja, shamo langa moja
Shapta kanga mmoja now is it you
Shakolobo shakolobo shakolobo sha sha
Shakolobo shakolobo shakolobo sha sha
Kidogo tu u ntazulia na wewe u u utafurahia
Upendo wangu hauna kifani dada nipokee nikueke ndani dada
Siri zetu zibaki ndani dada just for me and you
Nakutatoka kukupa utakacho
Wewe na mie pamoja mpaka kifo
Na usichoke kunipa moyo wako
Tuwe pamoja mpaka siku ya mwisho
Shapta ng'ani mmoja, shamo langa moja
Shapta kanga mmoja now is it you
Shapta ng'ani mmoja, shamo langa moja
Shapta kanga mmoja now is it you
Shakolobo shakolobo shakolobo sha sha
Shakolobo shakolobo shakolobo sha sha



Авторы: Michael Kennedy Claver


Naiboi feat. Ben Pol - Mmoja
Альбом Mmoja
дата релиза
16-07-2019

1 Mmoja



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.