Nandy - Should I Let You Go текст песни

Текст песни Should I Let You Go - Nandy



Usiniache peke yangu tafadhli
Ni wewe kipenzi cha roho yangu
Nikuonapo waipooza moyo
Ni wewe mpenzi wa roho yangu
Sifa zako zavutia moyo wangu
Niseme nini kuonyesha thamani
Ya penzi langu kwako



Авторы: Jude Nandy Pierre-louis, Nandy


Nandy - Should I let you go
Альбом Should I let you go
дата релиза
26-04-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.