Nandy - Baikoko текст песни

Текст песни Baikoko - Nandy



Huba langu nilikupa sioniie
Upendo wangu ukautupa jahani
Kumbe doriani tamu mdomoni harufu puani
Usio na uzio ya chumbani wayatoa hadharani
Acha niupete niupete nisije ula chuya
Acha niyabwage niyabwage gubu sijazoea
Acha niupete niupete nisije ula chuya
Acha niyabwage niyabwage gubu sijazoea
Ayaaah ayaaah aaaah ayaah
Ayaaah ayaaah aaaah ayaah
Wala si malumbano, imejawa mifano, wakileta maneno siwakohoi
Wala si malumbano, imejawa mifano, wakileta maneno siwakohoi
Halo halo
Kiroho papo papo huba la roho yako
Kiroho papo papo huba la roho yako
Singo nililosingwa, nimesingwa unyagoni
Kachiri wee funga mkanda, mbona yako huyaneni
Acha nitete nitete roho yangu
Usikurupuke ukapoteza mudi yangu
Sikupata tafadhali kunikeshesha
Hukujali yangu hali kutwa kunichoreesha
Wala si malumbano imejawa mifano wakileta maneno siwakohoi
Wala si malumbano imejawa mifano wakileta maneno siwakohoi
Halo halo
Kiroho papo papo huba la roho yako
Kiroho papo papo huba la roho yako
Kiroho papo papo huba la roho yako
Kiroho papo papo huba la roho yako



Авторы: Nandy


Nandy - The African Princess
Альбом The African Princess
дата релиза
10-07-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.