Nandy - Dozi текст песни

Текст песни Dozi - Nandy



Yaani tushawaloga walioshika manyanga
Si walipaka powder na chale wakachanja
Na kwenye vilinge udaku kwa madoti ya kanga
Nawatupa kwenye uchafu kama ganda la karanga
Ooh yayeee
Imegeuka shilingi wanalia (wameyamwaga)
Walidhani magimbi kumbe bia (wameyavaga)
Tuwapaka wino, machino
Wenyewe wamechimba shimo
Moja jino kwa kisigino
Wananunga tera nawazidi kimo
(Uko kwi uko kwu uko kwiko)
Ooh yeah hatucheki na ndezi
(Uko kwi uko kwu uko kwiko)
Ni mwendo wa dozi
(Uko kwi uko kwu uko kwiko)
Kama wagonjwa nawapa ulezi
(Uko kwi uko kwu uko kwiko)
Ooh yaaa hatuwabembelezi
(S2kizzy Baby)
Nikimake navimba kibaria
Kamba kwa buti nakazia
Wakipiga kunuti napanguwa
Kwa ukubwa wa show wanapaliwa
Naitekenya kete, wakipanguwa cheche
Miluzi makeke mteja na kete
Saluti, kuruti, katekenya kacheka kanyuti
Bunduki, baruti utapepea ka parachuti
Tuwapaka wino, machino
Wenyewe wamechimba shimo
Moja jino kwa kisigino
Wanaunga tera nawazidi kimo
(Uko kwi uko kwu uko kwiko)
Ooh yeah hatucheki na ndesi
(Uko kwi uko kwu uko kwiko)
Ni mwendo wa dozi
(Uko kwi uko kwu uko kwiko)
Kama wagonjwa nawapa ulezi
(Uko kwi uko kwu uko kwiko)
Ooh yaaa hatuwabembelezi



Авторы: Faustina Mfinanga, Nandy


Nandy - Dozi - Single
Альбом Dozi - Single
дата релиза
14-08-2020

1 Dozi




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.