Nandy - Mimi Ni Wa Juu текст песни

Текст песни Mimi Ni Wa Juu - Nandy



Kuna wakati wa giza
Mbele sioni najiuliza
Mbona kama hizi shida
Zimekawia kuisha
Katikati ya maswali
Nasikia sauti ndani, imebeba ujasiri
Ikinitaka nikiri nikisema .
Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
Mimi ni wa juu, juu sana
Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
Mimi ni wa juu, juu sana .
Sitafsiriwi kwa haya, machozi na magumu
Mimi ni mshindi tu, kamusi ndiye Mungu
Haijalishi ni giza, Yeye ni nuru yangu
Nitashinda hii vita na yote yatakwisha
Ntasimama tena, ntainuka tena
Mimi ni wa juu tu, mimi ni wajuu tu
Ntasimama tena, ntainuka tena
Mimi ni wa juu tu, mimi ni wajuu tu .
Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
Mimi ni wa juu, juu sana
Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
Mimi ni wa juu, juu sana .
Nawaza yaliyo juu, nawaza yaliyo juu
Juu sana
Nawaza yaliyo juu, nawaza yaliyo juu
Juu sana .
Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
Mimi ni wa juu, juu sana .
Sitafsiriwi kwa haya, machozi na magumu
Mimi ni mshindi tu, kamusi ndiye Mungu
Mimi ni wa juu, mimi ni wajuu
Mimi ni wa juu, juu sana .



Авторы: Joel Lwaga


Nandy - Mimi Ni Wa Juu
Альбом Mimi Ni Wa Juu
дата релиза
09-07-2019




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.