Nandy - Nibakishie (feat. Alikiba) - перевод текста песни на французский

Текст и перевод песни Nandy - Nibakishie (feat. Alikiba)




Nibakishie (feat. Alikiba)
Nibakishie (feat. Alikiba)
Mmmmmh oh oh oooh mmmh
Mmmmmh oh oh oooh mmmh
Yaani, nikikutazama
Yaani, nikikutazama
Naiona Dunia wangu peke yangu tu
Naiona Dunia wangu peke yangu tu
Jua linapozama, giza likiingia
Jua linapozama, giza likiingia
Natamani nikuone tu
Natamani nikuone tu
Ooh baby ukisakata rhumba
Ooh baby ukisakata rhumba
Sijalewa nayumba
Sijalewa nayumba
Caterpillar limebomoa nyumba mmmh
Caterpillar limebomoa nyumba mmmh
Natamani nife nizikwe nawe
Natamani nife nizikwe nawe
Shida na raha nawe
Shida na raha nawe
Niwe nawe
Niwe nawe
Mwenzako nimepatwa na homa
Mwenzako nimepatwa na homa
Umepasua ngoma
Umepasua ngoma
We baba ni noma mmmh
We baba ni noma mmmh
Akili imesita imegoma
Akili imesita imegoma
Mwisho wa reli kigoma
Mwisho wa reli kigoma
Ooh ooh
Ooh ooh
Oh baby (nibakishie)
Oh baby (nibakishie)
Usinipe vyote mie (nibakishie)
Usinipe vyote mie (nibakishie)
Utaniua (nibakishie)
Utaniua (nibakishie)
Kwa hiyo roho yangu (nibakishie)
Kwa hiyo roho yangu (nibakishie)
Oh baby (nibakishie)
Oh baby (nibakishie)
Usinipe vyote mie (nibakishie)
Usinipe vyote mie (nibakishie)
Utaniua (nibakishie)
Utaniua (nibakishie)
Kwa hiyo roho yangu (nibakishie)
Kwa hiyo roho yangu (nibakishie)
Ooh baby
Ooh baby
Nishaharibu cocky ya mapenzi acha niloe
Nishaharibu cocky ya mapenzi acha niloe
Pacha wangu ni wewe tunamatch sare sare
Pacha wangu ni wewe tunamatch sare sare
Nitazurula kulilinda penzi
Nitazurula kulilinda penzi
Kwa ndumba na chale
Kwa ndumba na chale
Tetere lipe mchele mzoga wake mwewe
Tetere lipe mchele mzoga wake mwewe
Ooh, basi nikabidhi
Ooh, basi nikabidhi
Ooh, moyo sitopunja wala kupima aiyaya
Ooh, moyo sitopunja wala kupima aiyaya
Ya yanishika ganzi na kichomi kuchoma
Ya yanishika ganzi na kichomi kuchoma
Mwili mzima wa tetema ooh maybe
Mwili mzima wa tetema ooh maybe
Baby, umetekenya ngoma
Baby, umetekenya ngoma
We mama ni noma (noma)
We mama ni noma (noma)
Akili imesita imegomaa
Akili imesita imegomaa
Mwisho wa reli kigoma kigoma kigoma
Mwisho wa reli kigoma kigoma kigoma
Ooh ooh
Ooh ooh
Oh baby (nibakishie)
Oh baby (nibakishie)
Usinipe vyote mie (nibakishie)
Usinipe vyote mie (nibakishie)
Utaniua (nibakishie)
Utaniua (nibakishie)
Kwa hiyo roho yangu (nibakishie)
Kwa hiyo roho yangu (nibakishie)
Oh baby (nibakishie)
Oh baby (nibakishie)
Usinipe vyote mie (nibakishie)
Usinipe vyote mie (nibakishie)
Utaniua (nibakishie)
Utaniua (nibakishie)
Kwa hiyo roho yangu (nibakishie)
Kwa hiyo roho yangu (nibakishie)
Ooh baby eeh
Ooh baby eeh





Авторы: Nandy


Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.