Nandy - Wanibariki текст песни

Текст песни Wanibariki - Nandy



Mmmmmmh mmmmmh baba
Ni we pekee wanijua vyema
Kwko sitetereki kamwe
Wanitenda mema na kunpa heshma
Umenfanya nsimame
Na km nkishikwa na shida
Ntakimblia hekaluni mwako
Ntaijza nafc mbele yako bwana
Ntasema yote yanayonishndaaa
Nlpo mie na ww upooo
Nlpo mie na ww upo bwana×2
Aaaaaaah wanibarikiiii eeeeh
Sitokuacha milele aaaaaah
Wanilinda mie Aaaaanh
Ntakuabudu milele ×2
Hakuna giza tena wala hakuna mashaka
Umenvua lana umenivika baraka(uuuuh)
Moyo wangu wakutamani ewe baba
Nafsi yng yakulilia aaaah
Umenijaza imani sio haba
Neno lako nashikiliaaaa
Umenshka mkono wako(asantee asantee)
Umenivusha magumuu(asantee asantee)
Nlipo mie na wewe upoo
Nlpo mie na ww upo bwana ×2
Aaaaaaaanh wanibarikii eeeeh
Sitokwacha milele(aaaaanh)
Wanilinda mie eeeeh
Ntakuabudu milele milele ×2 milele
Milele milele mileleeee oooooh baba aaaaah
Wanibariki mimi wabariki na wao



Авторы: Philbert Afred Gilioma


Nandy - Wanibariki
Альбом Wanibariki
дата релиза
17-03-2019



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.