Nedy Music - Acha Iwe - перевод текста песни на английский

Текст и перевод песни Nedy Music - Acha Iwe




Acha Iwe
Acha Iwe
Umenifuta alama ya upendo
You have erased the sign of love
Kwenye penzi langu
In my love
Tena ukashindwa kuficha matendo
And then failed to hide actions
Kwenye mboni langu
In my eyes
Najihisi moyo una ganzi
I feel my heart is numb
Ngumu kufika safari yangu
It's hard to reach my destination
Kinywa kibogoyo silambi
My mouth is dry, I can't sip
Wala kutafuna
Or chew
Aliniteka akili yangu
She captured my mind
Nikazama mazima mazima
I sank completely
Mwisho wa siku ikala kwangu
At the end of the day, it became to me
Kichwa ikabaki na jina
The head remained with the name
Oooh yanauma
Oooh it hurts
Ndio maana kila siku shida shida
That's why there's trouble every day
Tajiri wa huzuni
Rich in sadness
Ndonda limekosa tiba
The wound has no cure
Nitapona lini?
When will I recover?
Mie eh acha iwe, we acha iwe
Me eh let it be, you let it be
Acha iwe, bora nibaki mwenyewe
Let it be, I'd rather be alone
Acha iwe, we acha iwe
Let it be, you let it be
Acha iwe, bora nibaki mwenyewe
Let it be, I'd rather be alone
Nilishapona kidonda
I had healed the wound
Ona kaja kukitonesha
Look, it's come to taunt me
Kinywa nong'ona kupenda
Mouth murmurs to love
Nakosa jibu kuwtwa nakesha
I have no answer to call me awake
Naumwa kuwaza eh
I'm sick of thinking eh
Huenda pengine moyo hujaridhia
Maybe my heart doesn't agree
Nyota angaza eh
Starlight eh
Mizani nipime wapi nafsi itatulia
Scale, where can I measure where the soul will settle?
Ama ni nuksi mikosi
Or is it misfortune
Nyota ya punda yangu kubeba mizigo
The star of my donkey to carry the load
Ninakazana kufosi
I'm trying to forget
Cha jana kuvunda kwangu mi nishazoe
I'm used to yesterday's stink
Kila siku shida shida
Every day trouble trouble
Tajiri wa huzuni
Rich in sadness
Ndonda limekosa tiba
The wound has no cure
Nitapona lini?
When will I recover?
Mie eh acha iwe, we acha iwe
Me eh let it be, you let it be
Acha iwe, bora nibaki mwenyewe
Let it be, I'd rather be alone
Acha iwe, we acha iwe
Let it be, you let it be
Acha iwe, bora nibaki mwenyewe
Let it be, I'd rather be alone
Kila siku shida shida
Every day trouble trouble
Tajiri wa huzuni
Rich in sadness
Ndonda limekosa tiba
The wound has no cure
Nitapona lini mie
When will I recover me





Авторы: Chap Kontawa, Said Seif, Said Seif Ally

Nedy Music - Acha Iwe
Альбом
Acha Iwe
дата релиза
09-05-2020



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.