Nedy Music - Zungusha текст песни

Текст песни Zungusha - Nedy Music



Ni katoto gambee, na hakajichanganyi mitaa yote
Nikikaona nikarambe, kalivyo sexy lips nadandia
Si kapori ni kashombe, kamepanda kwa juu twiga nanae
Chuchu konzi ka kikombe, Walah nam neno leo nimtembezee
Shida kwangu me ni yee, akiniona anakaza roho
Sijui nifanyeje? ... shoga nimpelekee
Vikuku kwa miguu, kiuno ka kichuguu
Nalivutia picha, picha za usiku tu
Mikunjo kunfu, sauti ka kirikou
Na hivi limenona litakoma
Zungusha nimekwama, zungusha nimezama
Zungusha nimekwama, zungusha nimezama
Zungusha nimekwama, zungusha nimezama
Zungusha nimekwama, zungusha nimezama
Ninatema cheche, cheche rumba
Linanipa kwa bafu, choo mpaka nyumba
Liko te-te linayumba, nazungusha zungusha samba na rumba
Ananifanya nijione special aah eeh, special
Kumkosa dakika mateso aah eeh, mateso
Mwenzenu me nakula kideo, hataki nipa jana na leo
Navuta vuta upepo wa mwambao aah eeh
Mwenzenu nakula kideo, hataki nipa jana na leo
Navuta vuta upepo wa mwambao aah eeh
Shida kwangu me ni yee, akiniona anakaza roho
Sijui nifanyeje, . shoga nimpelekee
Vikuku kwa miguu, kiuno kama kichuguu
Nalivutia picha, picha za usiku tu
Mikunjo kunfu, sauti ka kirikou
Na hivi limenona litakoma
Zungusha nimekwama, zungusha nimezama
Zungusha nimekwama, zungusha nimezama
Zungusha nimekwama, zungusha nimezama
Zungusha nimekwama, zungusha nimezama
Nipe...
Nipe tena
Nipe...
Nipe nimezama
Nipe...
Nipe tena
Nipe...
Nipe nimezama



Авторы: Nedy


Nedy Music - Zungusha
Альбом Zungusha
дата релиза
20-11-2018




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.