Текст песни




Yesu nakuomba
Nibadilishe
Daktari wa moyo,ponya moyo wangu
Toa kila kitu kinachobisha
Mfinyanzi wa moyo,ponda moyo wangu
Geuza kila kilicho shupaza shingo
Kiburi maringo,geuza moyo wangu
Yesu uje,uje nikomboa
Nafsi ina kiu,ya kuanza upya
Ya kale yapite,Unifanye upya
Uniweke huru,nitoke mateka
Yesu uje,uje nikomboa
Nafsi ina kiu,ya kuanza upya
Ya kale yapite,unifanye upya
Uniweke huru,nitoke mateka
Yesu nakuomba
Nibadilishe
Daktari wa moyo,ponya moyo wangu
Toa kila kitu kinachobisha
Mfinyanzi wa moyo,ponda moyo wangu
Geuza kila kilicho shupaza shingo
Kiburi maringo,geuza moyo wangu
Yesu nakuomba
Nibadilishe
Daktari wa moyo,ponya moyo wangu
Toa kila kitu kinachobisha
Mfinyanzi wa moyo,ponda moyo wangu
Gueza kila kilicho shupaza shingo
Kiburi maringo,geuza moyo wangu
Yesu nakuomba
Nibadilishe
Daktari wa moyo,ponya moyo wangu
Toa kila kitu kinachobisha
Mfinyanzi wa moyo,ponda moyo wangu
Gueza kila kilicho shupaza shingo
Kiburi maringo,geuza moyo wangu
Ahhh(Ohhh)
Ahhh(Ohhh)
Kukaa kwangu
Kusimama kwangu
Na mawazo yangu
Ponya moyo wangu
Ninapo safiri
Niwapo nyumbani
Niwapo kazini
Ponya moyo wangu
Ponya kinywa changu
Nenda mbele yangu
Ni baraka kwangu
Uki ponya moyo wangu
Kukaa kwangu
Kusimama kwangu
Na mawazo yangu
Ponya moyo wangu
Ninapo safiri
Niwapo nyumbani
Niwapo kazini
Ponya moyo wangu
Ponya kinywa changu
Nenda mbele yangu
Ni baraka kwangu
Uki ponya moyo wangu
Kukaa kwangu
Kusimama kwangu
Na mawazo yangu
Ponya moyo wangu
Ninapo safiri
Niwapo nyumbani
Niwapo kazini
Ponya moyo wangu
Ponya kinywa changu
(Nenda mbele yangu)
Nenda mbele yangu
(Ni baraka kwangu)
Ni baraka kwangu
Uki ponya moyo wangu
(Ponya kinywa changu)
Ponya kinywa changu
Nenda mbele yangu
(Ni baraka kwangu)
Ni baraka kwangu
Uki ponya moyo wangu
(Yesu nakuomba)
Yesu nakuomba
Nibadilishe
Daktari wa moyo,ponya moyo wangu
Toa kila kitu kinachobisha
(kinachobisha)
Mfinyanzi wa moyo,ponda moyo wangu
Geuza kila kilicho shupaza shingo
Kiburi maringo,geuza moyo wangu
(Yesu nakuomba)
Yesu nakuomba
Nibadilishe
Daktari wa moyo,ponya moyo wangu
Toa kila kitu kinachobisha
(kitu kinachobisha)
Mfinyanzi wa moyo,ponda moyo wangu
(Geuza kila kitu)
Geuza kila kilicho shupaza shingo
Kiburi maringo,geuza moyo wangu



Авторы: Nelson Mugarula



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.
Загрузка
Загрузка