Nelly-Music - Waite текст песни

Текст песни Waite - Nelly-Music




Uuuh
Uuuh
Asubuhi nyingine umeiona
U heri wa afya umepona
Eti kesho hutafika walisema
Kumbe Bwana Yesu anakuona
Eti kiburi ndio wanachoona
Una vimbavimba unajiona
Hawajui Bibilia waisoma
Nyuma ya pazia goti walipiga sana
Nina kwambia tena usione napendeza
Ni Yesu
(Ni Yesu)
Tena nakukaribisha kushupaza shingo acha
Kwa Yesu
(Kwa Yesu)
Tumeitwa kushuhudiana wala sio kubishana
Ndugu yangu
(Ndugu yangu)
Hivyo chuki weka kando
Twende tupige gombo
Mwenzangu
(Mwenzangu)
Aya sasa waite waite
(Waite waite waje waone)
Waite waje wajionee
(Waite waite waje wajionee)
Kwa macho yao wenyewe
(Waite waite waje waone)
Alionitendea mie
(Waite waite waje waone)
Aya sasa waite waite
(Waite waite waje waone)
Waite waje wajionee
(Waite waite waje waone)
Kwa macho yao wenyewe
(Waite waite waje waone)
Alionitendea mie
(Waite waite waje waone)
Ulivoteseka wakumbuka
Walivokucheka moyo ukashuka
Ulowategemea wakasepa
Ukaomba nafasi hawakupa
Muda kidogo mambo yakajipa
Aliekuumba kaitika
Kaitikia kilio cha moyo
Akajibu maombi bila choyo
Majeraha ya moyo akaponya
Na company mbaya kakuonya
Utu wa zamani upya kaufanya
Sasa naonekana jitu lenye maana
Ninakwambia tena
Ninatamani kuvimba ila Yesu
(Ila Yesu)
Tena nikumbushie walivonitenda mie
Ila Yesu
(Ila Yesu)
Amenibadilisha majivuno nasitisha uyu Yesu
(Uyu Yesu)
Mimi nitakuficha sitokuaibisha ndugu yangu
(Ndugu yangu)
Ninakwambia tena
Usione napendeza ni Yesu
Uuuuh
Tena nakukaribisha
Kushupaza shingo acha
Njoo kwa Yesu
Uuuh
Aya sasa waite waite
(Waite waite waje waone)
Waite waje wajionee
(Waite waite waje waone)
Kwa macho yao wenyewe
(Waite waite waje waone)
Alionitendea mie
(Waite waite waje waone)
Aya sasa waite waite
(Waite waite waje waone)
Waite waje wajionee
(Waite waite waje waone)
Kwa macho yao wenyewe
(Waite waite waje waone)
Alionitendea Uyu Yesu
(Waite waite waje waone)
Aya sasa waite waite
(Waite waite waje waone)
Waite waje wajionee
(Waite waite waje waone)
Kwa macho yao wenyewe
(Waite waite waje waone)
Alionitendea mie
(Waite waite waje waone)
Aya sasa waite waite
(Waite waite waje waone)
Waite waje wajionee
(Waite waite waje waone)
Kwa macho yao wenyewe
(Waite waite waje waone)
Alionitendea uyu Yesu
(Waite waite waje waone)



Авторы: Nelson Mugarula


Nelly-Music - Mhamiaji
Альбом Mhamiaji
дата релиза
10-04-2025




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.
//}