Текст и перевод песни Nonini - Hii Barua - Feat. Karma
Hii Barua - Feat. Karma
This Letter - Feat. Karma
Najua
imekuwa
siku
mingi
sana
yaani
nimepotea
yaani
lakini
jo
I
know
it's
been
a
very
long
time,
I
mean
I've
been
lost,
but...
Ni
vile
manze
It's
just
that,
man
Network
ilikuwa
blunder
mahali
nilikuwa
jamaa
The
network
was
blunder
where
I
was,
my
friend
Sa
imebidi
nikae
chini
nikuandikie
hii
barua
So
I
had
to
sit
down
and
write
you
this
letter
Na-hope
utaipata
And
I
hope
you
get
it
Asante
kwa
mafans
wangu
jo
hii
Kenya
Thank
you
to
my
fans
in
Kenya
Wale
wanajuanga
tu
wanani-support
tu
videadly
Those
who
know
me
only
support
me
deadly
Watu
hujaribu
kuniangusha
chini
People
try
to
bring
me
down
Lakini
wana...
But
they...
Wananivuta
hawaezi
They
can't
pull
me
down
Nimeona
wasanii
wengi...
I've
seen
many
artists...
Wakipanda,
wengi
wao
waki...
Ascending,
many
of
them...
Wakishuka
na
mwezi
Descending
by
the
month
Genge
ni
cancer
ya...
Genge
is
a
cancer
of...
Ya
hawa
watu
Of
these
people
Ni
ka
wana...
It's
that
they...
Wanavuta
mafegi
They're
smoking
weed
Uh-uh
kudadadeki
Uh-uh,
freaking
out
Mistari
tamu
kama
mtoto
mshelisheli
Sweet
lines
like
a
sea
shell
child
Nashukuru
tuko
pamoja
tu
mpaka
saa
hii
I'm
grateful
we've
been
together
all
this
time
Tukitambaa
kwa
radio,
TV
kila
mahali
Nai
Crawling
on
radio,
TV
everywhere
in
Nai
Na
siezi
sahau
watu
wangu
wa
UG
na
Dar
And
I
can't
forget
my
people
in
UG
and
Dar
Na
kuna
wengine
Burundi
huko
Rwanda
And
there
are
others
in
Burundi
and
Rwanda
Nashukuru
hizi
miaka
zote
mmekuwa
na
mimi
I'm
grateful
for
all
these
years
you've
been
with
me
Na
hii
barua
nimewaandikia
nyinyi
nikai-sign
Nonini
And
I
wrote
this
letter
to
you
all
and
signed
it
Nonini
Kurasa
hazitoshi
The
pages
aren't
enough
Kuandikia
ninavyo
To
write
how
I
Maneno
hayawezi
Words
can't
Kukueleza
ninavyo
Tell
you
how
I
feel
Hii
barua
niliona
nikuandikie
wewe
This
letter
I
thought
I'd
write
to
you
Ka
uliniskiza
saa
hii
na
uliniskiza
siku
za
tene
Who
listened
to
me
at
this
hour,
and
listened
to
me
in
the
old
days
Safari
najua
jo
imekuwa
ndefu
The
journey
I
know
has
been
long
Wengine
mlinitoka
sabu
sura
imemea
ndevu
Some
of
you
left
me
because
my
beard
has
grown
Nakumbuka
jo
tukilipwa
thao
I
remember
when
we
got
paid
a
thousand
Ya
bus
fare
ya
kupanda
mathree
jo
tukiwa
tao
For
bus
fare
to
get
on
a
matatu
when
we
were
broke
Nikisalimia
dame
super
ananiambia
chao
When
I
greeted
a
super
chick,
she
told
me
chao
Funny
vile
fame
ilinigeuza
kwa
macho
zao
Funny
how
fame
turned
me
around
in
their
eyes
Uh-uh,
kudadadeki
Uh-uh,
freaking
out
Mistari
tamu
kuliko
tawi
za
pedi
Sweet
lines
sweeter
than
the
leaves
of
the
pedi
Nikiwa
chini
wee
ndio
mtu
wangu
wa
nguvu
When
I
was
down,
you
were
my
strongman
Hii
sauti
nitakupa
unless
nigeuke
bubu
I'll
give
you
this
voice
unless
I
become
mute
Morale
vile
wee
hunitetea
watu
wakibonga
mbaya
Morale-wise,
the
way
you
defend
me
when
people
talk
shit
Vile
wee
hutokea
ma-show
jo
nikiwa
Ulaya
How
you
show
up
at
shows
when
I'm
in
Europe
Hizi
miaka
zote
jo
mmekuwa
na
mimi
All
these
years
you've
been
with
me
Na
hii
barua
nimewaandikia
nyinyi
nikai-sign
Nonini
And
I
wrote
this
letter
to
you
all
and
signed
it
Nonini
Kurasa
hazitoshi
The
pages
aren't
enough
Kuandikia
ninavyo
To
write
how
I
Maneno
hayawezi
Words
can't
Kukueleza
ninavyo
Tell
you
how
I
feel
Eeh
na-hope
jo
maisha
poa
Eeh,
I
hope
everything's
cool
Umemada
chuo
ingia
campo
jo
ufala
toa
You
graduated
college,
go
to
camp
and
get
crazy
Mi
niko
poa
siezi
complain
afadhali
I'm
fine,
I
can't
complain,
thank
God
Mziki
siku
hizi
jo
inaeza
okolea
jahazi
Music
these
days
can
save
a
ship
Maisha
ikiwa
ngumu
komaa
nayo
If
life
is
hard,
stick
with
it
Kuwa
mstari
wa
mbele
ki-Adebayor
Be
a
leader
like
Adebayor
Kuna
time
hufika
na
nyama
za
kiasi
There
comes
a
time
with
not
much
meat
Usidhani
nimekuchorea
niko
tu
chini
ya
maji
Don't
think
I've
painted
you,
I'm
just
under
water
Mjanja
hufanya
mambo
yake
kimya
kimya
A
smart
guy
does
his
thing
quietly
Kisha
anarudi
kuchukua
industry
na
lazima
Then
he
comes
back
to
take
over
the
industry
and
must
Mlango
moja
ukifungwa
bisha
ya
pili
If
one
door
closes,
open
the
second
Mi
niko
ya
tano
saa
hizi
na
si
rahisi
I'm
number
five
now
and
it's
not
easy
Na
ya
kumi
inakaribia
kila
nikiwaimbia
And
number
ten
is
approaching
every
time
I
sing
to
you
Wee
jua
tuko
pamoja
tu,
na
nangoja
You
know
we're
together,
and
I'll
wait
Kupata
barua
yako
jo
na
ntaisoma
To
get
your
letter
and
I'll
read
it
Wee
andika
sign
jina
yako
na
fullstop
au
comma
You
write,
sign
your
name
with
a
period
or
comma
Kurasa
hazitoshi
The
pages
aren't
enough
Kuandikia
ninavyo
To
write
how
I
Maneno
hayawezi
Words
can't
Kukueleza
ninavyo
Tell
you
how
I
feel
Оцените перевод
Оценивать перевод могут только зарегистрированные пользователи.
Авторы: Hubert Nakitare
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.