Nonini - Hii Barua - Feat. Karma текст песни

Текст песни Hii Barua - Feat. Karma - Nonini



Najua imekuwa siku mingi sana yaani nimepotea yaani lakini jo
Ni vile manze
Network ilikuwa blunder mahali nilikuwa jamaa
Sa imebidi nikae chini nikuandikie hii barua
Na-hope utaipata
Asante kwa mafans wangu jo hii Kenya
Wale wanajuanga tu wanani-support tu videadly
Watu hujaribu kuniangusha chini
Lakini wana...
Wananivuta hawaezi
Nimeona wasanii wengi...
Wakipanda, wengi wao waki...
Wakishuka na mwezi
Genge ni cancer ya...
Ya hawa watu
Ni ka wana...
Wanavuta mafegi
Uh-uh kudadadeki
Mistari tamu kama mtoto mshelisheli
Nashukuru tuko pamoja tu mpaka saa hii
Tukitambaa kwa radio, TV kila mahali Nai
Na siezi sahau watu wangu wa UG na Dar
Na kuna wengine Burundi huko Rwanda
Nashukuru hizi miaka zote mmekuwa na mimi
Na hii barua nimewaandikia nyinyi nikai-sign Nonini
(CHORUS)
Kurasa hazitoshi
Kuandikia ninavyo
Kupenda
Aah, aah
Maneno hayawezi
Kukueleza ninavyo
Shukuru
Aah, aah
Hii barua niliona nikuandikie wewe
Ka uliniskiza saa hii na uliniskiza siku za tene
Safari najua jo imekuwa ndefu
Wengine mlinitoka sabu sura imemea ndevu
Nakumbuka jo tukilipwa thao
Ya bus fare ya kupanda mathree jo tukiwa tao
Nikisalimia dame super ananiambia chao
Funny vile fame ilinigeuza kwa macho zao
Uh-uh, kudadadeki
Mistari tamu kuliko tawi za pedi
Nikiwa chini wee ndio mtu wangu wa nguvu
Hii sauti nitakupa unless nigeuke bubu
Morale vile wee hunitetea watu wakibonga mbaya
Vile wee hutokea ma-show jo nikiwa Ulaya
Hizi miaka zote jo mmekuwa na mimi
Na hii barua nimewaandikia nyinyi nikai-sign Nonini
(CHORUS)
Kurasa hazitoshi
Kuandikia ninavyo
Kupenda
Aah, aah
Maneno hayawezi
Kukueleza ninavyo
Shukuru
Aah, aah
Eeh na-hope jo maisha poa
Umemada chuo ingia campo jo ufala toa
Mi niko poa siezi complain afadhali
Mziki siku hizi jo inaeza okolea jahazi
Maisha ikiwa ngumu komaa nayo
Kuwa mstari wa mbele ki-Adebayor
Kuna time hufika na nyama za kiasi
Usidhani nimekuchorea niko tu chini ya maji
Mjanja hufanya mambo yake kimya kimya
Kisha anarudi kuchukua industry na lazima
Mlango moja ukifungwa bisha ya pili
Mi niko ya tano saa hizi na si rahisi
Na ya kumi inakaribia kila nikiwaimbia
Wee jua tuko pamoja tu, na nangoja
Kupata barua yako jo na ntaisoma
Wee andika sign jina yako na fullstop au comma
(CHORUS)
Kurasa hazitoshi
Kuandikia ninavyo
Kupenda
Aah, aah
Maneno hayawezi
Kukueleza ninavyo
Shukuru
Aah, aah



Авторы: Hubert Nakitare


Nonini - The Godfather Of Genge
Альбом The Godfather Of Genge
дата релиза
16-02-2010




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.