Nviiri The Storyteller - Baridi (feat. Sanaipei Tande) текст песни

Текст песни Baridi (feat. Sanaipei Tande) - Nviiri The Storyteller



Aah aah aah (Hii baridi eeh)
Aah aah aah (Hii baridi eeh)
Aah aah aah (The Storyteller eh eh eh)
Aah aah aah
Hii baridi ni mbaya ah ah
Hii baridi eh
Nimetetemeka ya kutosha
Kuja unikumbatie (oh yoh yoh yoh)
Nimejaribu kahawa ah ah
Nikajaribu gauge
Najua ukikuja utafanya idissapear
Shida zangu si za doctor
Shida zangu si za vodka
Sema leo utatoka na mimi
Nitakungoja
Shida zangu si za doctor
Shida zangu si za vodka
Sema leo utatoka na mimi
Nitakungoja
Sema
Nijipange
Sema
Nijipange
Ningependa kukuona leo
Tujibambe
Tujibambe
Sema
Nijipange
Sema
Nijipange
Ningependa kukuona leo
Tujibambe
Tujibambe
Aah aah aah aah
Aah aah aah aah
Natamani lako joto oh oh
Natamani moto (Natamani Moto)
Nimetetemeka ya kutosha
Njoo unikumbatie
Nimejaribu blanketi
Moto kwenye fireplace
Najua ukikuja
Utafanya idissapear
Shida zangu si za doctor ah
Ama whiskey
Je, Niambie utatoka na mimi
Nitakungoja
Shida zangu si za doctor ah
Shida zangu si za vodka
Je, Niambie utatoka na mimi
Nitakungoja
Sema
Nijipange
Sema
Nijipange
Ningependa kukuona leo
Tujibambe
Tujibambe
Sema
Nijipange
Sema
Nijipange
Ningependa kukuona leo
Tujibambe
Ooh lord, oooh lord
Aah aah aah aah
Baby niambie...
Aah aah aah aah
Ooh Baby niambie
Uko down?
Uko ready?
Njoo tuget busy
Uko down?
Uko ready?
Njoo tuget busy
Uko down?
Uko ready?
Njoo tuget busy
Uko down?
Uko ready?
Njoo tuget busy



Авторы: Nviiri Sande, Nviiri The Storyteller, Sanaipei Tande


Nviiri The Storyteller - Kitenge
Альбом Kitenge
дата релиза
05-03-2021




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.