Nviiri The Storyteller - Lesotho (feat. Ray Gee) текст песни

Текст песни Lesotho (feat. Ray Gee) - Nviiri The Storyteller



Tukumbe vile (vile)
Hizi siku zikipita
Tukumbe vile (vile) oh
Twende Lesotho (Lesotho)
So fresh
Nakuahidi nikishika money
Hautawahi kosa maziwa asali
Na kila siku tutaweka party
Najua vile unapenda sherehe vile ninapenda sherehe
No no no
Mtoto kiboko
Sema kile unaona kwa ndoto
Nami nitatimiza
Nitatimiza yote yeah
Dunia ni ndogo
Sema kama tusafiri Lesotho ama Argentina America
Tukumbuke vile (vile), tulivyokazana
Tukumbuke vile (vile), tulivyong'ang'ana
Tukumbuke vile (vile), tulivyopambana
Tukumbuke vile (vile), tukumbuke vile
Kuna Messiah
Ooooh
Kuna Messiah
Ukiweza piga picha
Ukipenda mziki katika
Hizi misimu zitapita
Na hizi picha
Zitatukumbusha
Kila mtu anapenda good life, eh yeah
We mwenyewe unajipa good time, wo wo woah
Mtoto kiboko
Sema kile unaona kwa ndoto
Nami nitatimiza
Nitatimiza yote eh yeah
Dunia ni ndogo
Sema kama tusafiri Lesotho ama Argentina America
Tukumbuke vile (vile), tulivokazana
Tukumbuke vile (vile), tulivong'ang'ana
Tukumbuke vile (vile), tulivopambana
Tukumbuke vile (vile), tukumbuke vile
Kuna Messiah
Ooooh
Kumbuka Messiah
Ooh Lord Ooh Lord
Tukumbuke vile (vile)
Ray Gee
Tukumbuke vile (vile)
And the Storyteller, yeah ye yeah
Tukumbuke vile (vile)
Sol Generation
Tukumbe vile vile
Kumbuka Messiah



Авторы: Nviiri The Storyteller


Nviiri The Storyteller - Lesotho (feat. Ray Gee)
Альбом Lesotho (feat. Ray Gee)
дата релиза
07-08-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.