Текст песни
Tunaget
high
kuji-entertain
Au
kuficha
ka
pain
Sema
wallahi
na
unadanganya
Life
najua
itakucane
Peace
of
mind
ndio
kitu
hawana
Try
kutuliza
brain
Naficha
white
nalipwa
na
fame
Najua
wanaskia
kujimurrr
uh
Utaona
disguise
zikianza
kufade
Na
time
utaona
tuchange
Watatry
kusema
walikumake,
nkt
Si
wangejimake?
Patience
ya
mine,
huwaga
inafail
Unahaharibu
vibes
unatupwa
njei
Unaskia
na
light,
na
puliza
jay
Najua
wanaskia
kujimurrrder
Days
za
mine
of
late
Zote
ni
holiday
Mulla
ni
long
Na
cheka
na
confidence
Nakimbiza
dopamine
Najua
kuna
consequence
But,
mulla
ni
long
Days
za
mine
of
late
Zote
ni
holiday
Mulla
ni
long
Na
cheka
na
confidence
Nakimbiza
dopamine
Najua
kuna
consequence
But,
mulla
ni
long
Naona
masmile,
naona
maface
Zingine
familiar,
zingine
na
guess
Blessed,
vile
huwezi
amini
Nimeshinda
siku
mzima
Na
finya
refresh
Fresh
na
rap
ka
mimi
Hakuna
mtu
mwingine
Na-try
kuimpress
Yes,
na
cheka
na
nyinyi
Nikichezanga
chini
Juu
na
cheza
chess
Kwa
life
ya
mine
we
ni
guest
Ukitoka
jua
kuna
next
Ukiskia
tamaa
hiyo
ni
flesh
Ukiishiwa
jua
we
ni
ex
Niko
on
my
grind
ka
crusher
Na
plan
hadi
time
ya
kurest
Pass
bag
hii
side
ka
usher
Skia
bars,
hiyo
ni
Nairobi
West
You
just
wanna
feel
something
(Just
wanna
feel)
Maybe
ni
mimi,
ni
fame
ama
nini?
Watiaji
ni
wengi,
maflow
ni
baridi
Mashow
ni
wazimu,
madollar
ni
mingi
Nikidai
naeza
bini
ni
bini
ni
bini
Ukishakata
simu
Nishashika
ingine
Mwaka
imejaa
kwa
flyer
Ni
mimi,
ni
mimi,
ni
mimi
Ushaona
kakitu
Na
hujaona
ata
kitu
Maybe
ni
mimi,
ni
fame
ama
nini?
Watiaji
ni
wengi,
maflow
ni
baridi
Mashow
ni
wazimu,
madollar
ni
mingi
Kwa
flyer
ni
mimi
Ni
mimi,
ni
mimi,
ni
mimi,
ni
mimi
Days
za
mine
of
late
Zote
ni
holiday
Mulla
ni
long
Na
cheka
na
confidence
Nakimbiza
dopamine
Najua
kuna
consequence
But,
mulla
ni
long
Days
za
mine
of
late
Zote
ni
holiday
Mulla
ni
long
Na
cheka
na
confidence
Nakimbiza
dopamine
Najua
kuna
consequence
But,
mulla
ni
long
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.