Текст песни Mungu Pekee - Nyashinski
Sijui
kaa
nitaona
kesho
Kaa
ningali
na
uwezo
wa
kuifanya
Nitaifanya
hadi
mwisho
Mwambieni
huyo
devil
Simwogopi
shetani
sir
God
yuko
nami
hadi
kifo
Kaa
nitaona
kesho
nipe
nguvu
na
uwezo
wa
kijana
Na
akili
za
mzee
Daima
niwe,
imara
wasiniangushe
Naona
saa
kila
siku
ni
zawadi
toka
Maulana
So
haja
gani
ushike
tama
maa
Majaribu
huisha
oh
ya
eeeh
Na
ata
kaa
maadui
zangu
watashikana
na
zao
njama
siwaogopi
Nasimama
mama,
ya
kiama
yao
yaja
eeh
Hiyo
ndio
pace
nasonga
nayo
Wanashangaa
hakuna
stress,
nakuanga
nayo
Naishi
sawa
sina
kesi
mahakamani
au
deni
za
majirani
Niko
fresh
nje
na
ndani
oh
yah
eeh
Namwogopa
Mungu
pekee
Mwanadamu
akija
kunitafash,
naomba
Mungu
n'tetee
Maneno
yao
yasiniumize
nifanye
sugu
wewe
Wakitry
kunitisha
naomba
nisitetemeke
I
know
you
love
me,
know
you
love
me
eeh
So
I
don't
fear
nobody
but
you
I
know
you
love
me,
know
you
love
me
eeh
(nisitetemeke)
I
know
you
love
me,
know
you
love
me
eeh
So
I
don't
fear
nobody
but
you
I
know
you
love
me,
know
you
love
me
eeh
(nisitetemeke)
Uhh
siamini
jo
juu
vile
naishi
life
ni
ngumu
kuamini
hii
si
ndoto
Sijui
vile
kesho
itakaa
kwa
hivyo
leo
nitaifanya
kaa
kidogo
huwa
hairidhishi
roho
Yaani
sana,
tena
sana,
ata
wale
wananichukia
wananiheshimu,
bruh
mi
si
kidogo
Uhh
sibabaiki
nikisikia
mkiongea
nazidi
kuwapa
mi
kisogo
Na
kama
saa
sisimami,
sitaki
life
iniache
majani
mataani
Mwenyezi
nichungie
familia
yangu
na
pia
za
wale
wote
sauti
yangu
wanaisikia
Tupe
afya
nzuri
na
maisha
matamu
Barabara
zetu
zinyooke
waone
mfalme
ni
wewe
Wa
kupewa
shangwe
ni
wewe
Wa
kupewa
shangwe
ni
wewe
Namwogopa,
Mungu
pekee
Mwanadamu
akija
kunitafash,
naomba
Mungu
n'tetee
Maneno
yao
yasiniumize
nifanye
sugu
wewe
Wakitry
kunitisha
naomba
nisitetemeke
I
know
you
love
me,
know
you
love
me
eeh
So
I
don't
fear
nobody
but
you
I
know
you
love
me,
know
you
love
me
eeh
(nisitetemeke)
I
know
you
love
me,
know
you
love
me
eeh
So
I
don't
fear
nobody
but
you
I
know
you
love
me,
know
you
love
me
eeh
(nisitetemeke)
I
pray
we,
me
and
my
people
we
never
die
Say
we
live
forever
and
forever
we
multiply
And
wherever
we
go,
ni
nini
wanaweza
nishow
Hata
ka
sina
kitu,
uko
na
mimi
kila
siku
Kila
siku
wewe
pekee
Namwogopa,
Mungu
pekee
Mwanadamu
akija
kunitafash,
naomba
Mungu
n'tetee
Maneno
yao
yasiniumize
nifanye
sugu
wewe
Wakitry
kunitisha
naomba
nisitetemeke
I
know
you
love
me,
know
you
love
me
eeh
So
I
don't
fear
nobody
but
you
I
know
you
love
me,
know
you
love
me
eeh
(nisitetemeke)
I
know
you
love
me,
know
you
love
me
eeh
So
I
don't
fear
nobody
but
you
I
know
you
love
me,
know
you
love
me
eeh
(nisitetemeke)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.