Octopizzo - Flex текст песни

Текст песни Flex - Octopizzo



Pizzo de
Eight town
Gang gang
Flex flex flex flex flex flex flex
Flex flex flex
Mbili ni defense
Moja ni goaler
Namba nane niki strike
Hizi ndio goals man
Flex flex flex flex
Flex flex flex
Mbili ni defense
Moja ni goaler
Namba nane niki strike
Hizi ndio goals man
Sex sex sex sale
EXs nina excess
Heaven nili x hell
On some balance sheet niki excel
Mic mula drip check check
Tusiponge ju ya mula bana
Nina blank cheque
Cheap shots nigga va vest
Scrr scrr niko back left
Marapa wengi kwenye tl
Nigga press next
Biz zako zote chai rangi
Venye kila siku uko maji
Gz wangu wote standby
Wanagoja skiza rada gani
Noma ni niko maganji ooh ooh ooh!
Pigwa mbegu nyingi ka kichungi
Sina time yako ka unikanji
Hao wengine wannabe
Nigga me ni cannabis sativa
Ukinusa unafreeze zimeshika
Rada chafu tuma pin
Goro ngapi ziko clean
Flex flex flex flex flex flex flex
Flex flex flex
Mbili ni defense
Moja ni goaler
Namba nane niki strike
Hizi ndio goals man
Flex flex flex flex
Flex flex flex
Mbili ni defense
Moja ni goaler
Namba nane niki strike
hizi ndio goals man
Anapenda niki smile cheka cheka cheka!
Seasaw niki style drip drip drip
Nginyo niki drive
Niki lamba ana blush
Niki zama ana splash
Pizzo de
Nina kila kitu we usaka
Na haupati lady
Vina kila siku nikichana
Haunipati wewe
Huyu kijana akitema bana
Ni ukapi senje
Nakupenda ile ya dhati bebe
Sikupendi ju ya senyee
Menje paparazzi wako missing
Tenje kata simu niko meeting
Ndizi mi na moraa tuko kissing
Listen hizi level hamfikee
Flex flex flex flex
Mchana flex flex flex
Juzi esir aka nikol wanakuogopa
RIP big bro bana bado tunasonga
Flex flex flex flex flex flex flex
Flex flex flex
Mbili ni defense
Moja ni goaler
Namba nane niki strike
Hizi ndio goals man
Flex flex flex flex
Flex flex flex
Mbili ni defense
Moja ni goaler
Namba nane niki strike
Hizi ndio goals man
Gang gang!



Авторы: Henry Ohanga


Octopizzo - Flex - Single
Альбом Flex - Single
дата релиза
08-03-2023

1 Flex




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.