Official Bigi - Timo, Swalleh,Clever Freestyle текст песни

Текст песни Timo, Swalleh,Clever Freestyle - Official Bigi



Hii ni freestyle jooh ndo nataka kuchapa
Leo nataka kuongelelea msee anaitwa timo
Huyu msee ni bazenga
Huyu msee ni mhenga
Huyu msee ni rapper jooh na bado jooh ni trapper
Ikifika ni kurap ye ndo anawakilisha
Anaweza toa na anaweza jumuisha
Hakuna competition jooh ikifika kwake
Ye ndo kusema minilimpea heshima yake
Ye hukuaga mhumble
Na apendagi kelele
Sio kama wasee jooh wenye viherehere
Keep it up bro hivo ndio infaa
Minataka all of time wabaki wameshangaa
Kuna msee mwengine pia anaitwa swalleh
Huyu ni kabro joo sitaki maswali
Anakuanga pia trapper
Na amemshinda papa
But all of all ye jooh ndo huwachapa
Na sitaki kwenda mbali hapo ndio nakwamia
Clever usijali next time we ndo nakwanzia



Авторы: Official Bigi


Official Bigi - Timo, Swalleh,Clever Freestyle
Альбом Timo, Swalleh,Clever Freestyle
дата релиза
06-01-2021




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.