Omg feat. Barakah The Prince - Uongo na Umbea текст песни

Текст песни Uongo na Umbea - OMG , Barakah The Prince



Hii ni kwa wale wana wooote waongo waongo na wambea
Let's get 'em
Tangu naanza kua nilijijua so nikaanza jiepusha na umbea
Nna jopo la washkaji waliozingua kisa tu walinijua
So nikaona maisha sio fair
Huku nakimbizana na Mr. On Air
Huku napambana walishaniotea
Sawa ingawa nachana vya maana tofauti sana na jana
Kipindi nafanya "Pana" walicompare? Haah Nah
Unawaambia washkaji sio msafi niko solo
Na gari sina mwendokasi niko doro
Ndo maana hata babes wakali hawanifollow
Au nna kasoro? Gotta know, it's like
Mi nataka ukahadithie pia story hizi naandika mavitu yanatoka kichwani sio ya wizi
Afu sina muda maana kila siku niko busy siwezi hata kulala nyumbani mama ananiona chizi
Mshua ndo ananiona popo, giza
Main chick mara, "ooh utaniliza"
Napiga chops kama local pizza, wananiuliza... shit
Hatucheki na wewe kwa sababu ya uongo na umbea
Haturoll na wewe kwa sababu ya uongo na umbea
Kwa sababu moja tu, ya uongo na umbea
Ya uongo na umbea x 2
Uongo na umbea, umbea
Uongo na umbea, umbea (kwa sababu moja tu) x 4
Nikichomoka maskani najiona niko vitani
Na unaweza kuona ni utani maana hata vita ni fani
Tangu tunaenda kwa Banny zile CD tuna-burn
Halafu tunarudi nyumbani hakuna CD player
Leo nimetoka nigga anataka play fair
How fair? Shopping zangu ni Mayfair
Nikishtuka chai zangu ni Protea
Niko na machizi so please I don't care, shit
Na mbona hatukuoni au you broke nowadays
Lame niggas whatchu know about games
Trynna overtaking eMCeez
Killer verse now your rap is crazy
Wao wanaona i'm faking
Mimi ninajiona i'm straightin'
Wakiongea shit about us, siwasikii
'Cause najua deep inside i'm repping
Hatucheki na wewe kwa sababu ya uongo na umbea
Haturoll na wewe kwa sababu ya uongo na umbea
Kwa sababu moja tu, ya uongo na umbea
Ya uongo na umbea x 2
Uongo na umbea, umbea
Uongo na umbea, umbea (kwa sababu moja tu) x 4
Mic check one four yani bounce, ni bounce (yeah utawaskia)
Nna mtoto mkali kala chepe, blouse chini Vans (yeah utawaskia)
Kitambo niko street sitoki kama Swaggz bwana Salmin (yeah utawaskia)
Na naball you know mi ni chaf nigga ubavu kuna brown chick
Na kama ipo seat kwa wanaoweza kuchana
Nitawaficha sana (Woooh!)
Na kama ikiwekwa beat na ukashindwa kuchana
Utazomewa sana (Woooh!)
Na kama unaishi street na ukashindwa kuwa straight na mareal niggas
Ambao tunakeep it real na kuanza kuchekacheka kutwa unashinda kuungama kama gay nigga
Mji ka L.A you get shot nigga, (tutututu!)
Maana, kuimba kama mimi pia huwezi
Ukiambiwa uimbe nyimbo zangu mimi pia huwezi
Ukiambiwa fanya kazi unachagua kazi ngumu pia huwezi
Unachonishangaza mpaka kuomba Mungu napo pia huwezi
Yo nigga, you ain't serious man
Hatucheki na wewe kwa sababu ya uongo na umbea
Haturoll na wewe kwa sababu ya uongo na umbea
Kwa sababu moja tu, ya uongo na umbea
Ya uongo na umbea x 2
Uongo na umbea, umbea
Uongo na umbea, umbea (kwa sababu moja tu) x 4
Haha, we just say goodbye to the bottom
And hello to the top, that's a low life lifted man
OMG that's the major key
Put your hands in the air if you hate when the haters trynna hate yo
Fuck what the haters say!
#Writter:(s) Rasheed Shabani, Salmin Hezlon, Rasheed Saleem
#Sapported by: Kelvin Kambo, Salmin Rasheed, Arbort Charz, Ibrahim Mandingo




Omg feat. Barakah The Prince - Uongo na Umbea Feat Barakah The Prince
Альбом Uongo na Umbea Feat Barakah The Prince
дата релиза
10-07-2017



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.