Текст песни Ni Wewe - Ommy Dimpoz
Oooh
nanananana...
Ooh
yeah
Sultan
001
Nah
nah
nah
nah...
Oooh
Nimeacha
pengo,
bila
ni
wako
upendo
Umenipa
nuru,
Umenitoa
gizani
Sina
maelezo,
Nimeishiwa
uwezo
Na
mwomba
aliye
juu,
anitoe
kitandani
Nikawazaje?
Ingekuwajeee?
Maisha
yangu
na
familia
ningeondoka
Nikawazaje?
Ingekuwaje
yeah
yeah
Shabiki
zangu
na
ndoto
zangu
zingezimika
Oooh
Yeah,
baba
niwewe
Oooh
baba
yangu,
baba
niwewe
Oooh
mungu
wangu,
Baba
niwewe
Oooh
mola
baba
eeeh,
Baba
niwewe
Oooh
naona
miujiza
Siamini
moyo
ndo
najiuliza,
ni
mimi?
Walelo
waliza
Kwa
dua
zao
wakasimama
na
mimi
Nikawazaje?
Ingekuwajeee?
Maisha
yangu
na
familia
ningeondoka
Nikawazaje?
Ingekuwaje
yeah
yeah
Shabiki
zangu
na
ndoto
zangu
zingezimika
Oooh
Yeah,
baba
niwewe
Oooh
baba
yangu,
baba
niwewe
Oooh
mungu
wangu,
Baba
niwewe
Oooh
mola
baba
eeeh,
Baba
niwewe
Hakuna
kama
wewe
mola
baba
Hakuna
kama
wewe
mola
baba
Alpha
na
omega...
Ye...
Yeah
Alpha
na
omega...
Ye.
Yeah.
Yeah
Nah
nah
nah
nah
nah...
Baba
niwewe...
Baba
wewe
ye.
Ye.
Yeah
Baba
niwewe...
Mola
baba
baba
yeah.
Baba
niwewe.
Baba
wewe
ye.
Ye.
Yeah
Baba
niwee...
Mola
baba
baba
yeah
Mola
wewe
yeah
yeah
Baba
yeah
yeah
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.