Otile Brown feat. Aslay - Nikupe Nini текст песни

Текст песни Nikupe Nini - Otile Brown feat. Aslay



Ooh ooh mmmh
Eeeh
Baby
Kinyau nyau kikia cha pweza
Mtoto fundi umeniweza
Sinywi hata mchuzi wa pweza
Ila mechi kali ooh
Kwenye kokoto nateleza
Wachawi bado hawajaweza
Penzi tunavolisambaza
Kihatari hatari
Oh darling
Baby
Lovie
Nini unataka eeh
Sema basi
Ati darling
Baby
Lovie
Nini unataka eeh
Sema basi weee
Unataka nikupe
Ua madori
Unataka nikupe
Madorali dorali
Unataka nikupe
Vitu vya asili
Jamani weweee
Unataka nikupe
Shubiri asali
Unataka nikupe
Bamia kidari
Unataka nikupe
Aiiiii
Nikupe nini mamaa
Aiyayaa yayaa
Yayayaa
Sina chawa
Sina pa kulala
Nsipokua na wewe
Sitopata rahaa
Juisi ya mananasi
Wali kwa parachichi
Nipikieee
Nijilieee nijisosomole
Haukamatiki haushkiki matashtiti
Kitandani mpaka rahaa
Najiona mimi kwenye sura yako
Umenivuruga vuruga
Umeniroga niroga
Baby tuachage uoga
Aiyayayayaaa
Umenivuruga vuruga
Umependa ua na boga
Baby punguzaga uoga
Aiyayayayaa
Unataka nikupe
Ua madori
Unataka nikupe
Madorali dorali
Unataka nikupe
Vitu vya asili
Jamani weweee
Unataka nikupe
Shubiri asali
Unataka nikupe
Bamia kidari
Unataka nikupe
Aiiiii
Nikupe nini mamaa
Umenivuruga vuruga
Umeniroga niroga
Baby tuachage uoga
Aiyayayayaaa
Umenivuruga vuruga
Umependa ua na boga
Baby punguzaga uoga
Aiyayayayaa
Ati tulivoshibana, aiyaya
Tunavoendana, aiyaya
Tunavopendana, aiyaya
Wanakachi sana
Ati tulivoshibana, aiyaya
Tunavoendana, aiyaya
Tunavopendana, aiyaya
Wanakachi sana na na na



Авторы: Otile Brown


Otile Brown feat. Aslay - Nikupe Nini
Альбом Nikupe Nini
дата релиза
04-10-2018



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.