Текст песни Alivyonipenda - King Kaka , Otile Brown
Saa
zingine
anayekupenda
humpendi
Unapenda
mwingine
Anayependa
mwingine
hata
asiye
mpendanga
Na
kila
mtu
anataka
type
yake
Saa
zingine
hata
wale
wenye
hadhi
na
sisi
tunawakataanga
Alivyonipenda
yule,
alivyonipendanga
Alivyonipenda
yule,
sikujali
nikamuaga
OTILE
BROWN
Yule
aliyenipenda
bure
Nikamuacha
kwa
ajili
yake
yule
Aliyefata
pesa
na
zaidi
ya
hiyo
sikuwa
na
maana
Kweli
macho
yalinihadaa
Haki
macho
yalinihadaa
Alivyonipenda
kwa
bidii,
Suzeed
kanionya
mimi
sisikii
Urembo
pekee
hauridhishi
Inahitaji
zaidi
Type
yangu,
ni
yule
anaejua
thamani
ya
penzi
langu...
Type
yangu,
ni
yule
anaenienzi
Ina
maana
gani,
uwe
na
msichana
mrembo
Dunia
Nzima,
na
hakupendi?
Ina
maana
gani
uwe
na
mume
Mwenye
hela
chungu
nzima
na
hakudhamini?
Alivyonipenda
yule,
alivyonipendanga
Alivyonipenda
yule,
sikujali
nikamuaga
KING
KAKA
Alikuwa
wangu
wahu
wakati
nilikuwa
nameless
Nikimuona
nasinzia
ka
Nameless
Uko?
Ntakuja
kalesa
Love
ilikuwa
genuine
than
leather
Na
huyu
we
started
kitambo
wakati
skuma
mezani
was
diambo
Wakati
stima
kwangu
was
candle
Wakati
birthday
yake
haikuwa
na
keki
Wakati
nikisota
alinipiga
jeki
Nikachanganyikiwa
na
rangi
ya
thao
Yangu
ikafunguka
club
ndio
makao
Leo
Macha
kesho
coast
tunakacha
hata
Tulizi
document
snapchat
Niko
empty
nammiss
kishenzi
Alinipa
ya
kweli
mapenzi
Lonely
mamiss
alivyonipendanga
Alivyonipenda
yule,
alivyonipendanga
Alivyonipenda
yule,
sikujali
nikamuaga
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.