Текст песни Kosea - Otile Brown
Mmh
hujawai
kukosea,
sijawahi
kuwa
sawa
Ooh
beiby,
unaninyanyasa
sana
Hujawai
kukosea,
sijawahi
kuwa
sawa
Ooh
beiby,
unanitesa
sana
(Ooh
oh
oh)
Sometimes
nafanya
zile
vitu
sipendi
Ili
nikuridhie
Ila
ndo
bado
nanong'ona,
yeah
yeah
Natamani
ardhi
ipasuke,
inimeze
Maana
mwenzio
nimechoka
Mwenyezi
Mungu
niwezeshe
Bora
iliponifika
inisepe
Kama
umenichoka
unieleze
beiby
Mwenyezi
Mungu
niwezeshe
Bora
iliponifika
inisepe
Kama
umenichoka
unieleze
beiby
Hujawai
kukosea,
sijawahi
kuwa
sawa
Ooh
beiby,
unaninyanyasa
sana
Hujawai
kukosea,
sijawahi
kuwa
sawa
Ooh
beiby,
unanitesa
sana
(Vicky
pon
dis)
Elewa
sishindani
nawe
Sibishani
na
wewe,
mama
utakalo
na
liwe
Elewa
sishindani
nawe
Sibishani
na
wewe,
mama
utakalo
na
liwe
Beiby
niende
kushoto
uende
kulia,
kama
hatutakani
Nimekuvumilia,
ila
ni
kama
hatuendani
Kila
siku
vitimbi,
utadhani
vioja
mahakamani
Hapa
ilipotimia
kwa
hili
penzi
nishapoteza
imani
Hujawai
kukosea,
sijawahi
kuwa
sawa
Ooh
beiby,
unaninyanyasa
sana
Hujawai
kukosea,
sijawahi
kuwa
sawa
Ooh
beiby,
unanitesa
sana
Hujawai
kukosea,
sijawahi
kuwa
sawa
Ooh
beiby,
unaninyanyasa
sana
Hujawai
kukosea,
sijawahi
kuwa
sawa
Ooh
beiby,
unanitesa
sana
1 Regina
2 Dede
3 Hit and Run
4 Leila
5 Kosea
6 Umedamshi
7 Dusuma
8 Watoto Na Pombe
9 Zaidi Yako
10 Pretty Gal
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.