Текст песни Vibaya - Otile Brown
Kinachohitaji
moyo
Hata
akili
haiwezi
baini
Cha
mtima
cha
moyo
Hata
kama
kibaya
Kifaacho
mtu
chake
Kwako
sisikii
wala
siambiliki
Nakupenda
kipimo
sina
Kwako
mi
hoi
chakari
Nalewa
Henessy
Moyo
wangu
unao
Kwako
ninatua
kafanya
makazi,
yeah
yeah
ooh
Napenda
mapaka
mjini
Wakanirubuni
Nusura
wanitoe
roho
Oooh
upendo
si
kutamani,yeah
yeah
ooh
Ila
kaja
toto
la
moto
Kanipoza
kama
uji
wa
mtoto
Haters
tunawanyoosha
vinyoosho
Ukaja
toto
la
moto
(Moto)
Kanipoza
kama
uji
wa
mtoto
(Mtoto)
Insta
tunawanyoosha
vinyoosho
Nakupenda
vibaya
(Baya
baaya)
Yaani
vizuri
vibaya
(Baya
baaya)
Nakupenda
vibaya
(Baya
baaya)
Yaani
vizuri
vibaya
(Baya
baaya)
Nampenda
mpenda
(Nani?)
Msichana
mmoja
(Nani?)
Na
jina
lake
(Nani?)
Nampenda
mpenda
(Nani?)
Msichana
mmoja
(Nani?)
Na
jina
lake
(Nani?)
(Vicky
pon
dis)
Toto
ulivyosimama
umenikaa
Ooh
nakuwaza
kila
saa
Unavyobana
unaachia,
bana
unaachia
Kisha
slow
it
down
ghafla
unatia
gear
(toto
mi
hoi)
Unavyobana
unaachia,
bana
unaachia
Kisha
slow
it
down
ghafla
unatia
gear
(toto
mi
hoi)
Toto
la
moto
Kanipoza
kama
uji
wa
mtoto
Haters
tunawanyoosha
vinyoosho
Ukaja
toto
la
moto
(Moto)
Kanipoza
kama
uji
wa
mtoto
(Mtoto)
Insta
tunawanyoosha
vinyoosho
Nakupenda
vibaya
(Baya
baaya)
Yaani
vizuri
vibaya
(Baya
baaya)
Nakupenda
vibaya
(Baya
baaya)
Yaani
vizuri
vibaya
(Baya
baaya)
Nampenda
mpenda
(Nani?)
Msichana
mmoja
(Nani?)
Na
jina
lake
(Nani?)
Nampenda
mpenda
(Nani?)
Msichana
mmoja
(Nani?)
Na
jina
lake
(Nani?)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.