Текст песни Analysis Paralysis - P-Tah
Na
bounce
kwa
this
ka
first
body
tenament
Comfy
kwa
beat
ka
Kiriamiti
parlaiment
Bishara
ya
nyani,
ufisi
kwa
ofisi
Ku
anika
ya
tumbili,
wa
ki
tufungia
swara
Weka
ndovu
kadhaa
kwa
pori
kabla
mapoacher
wa
come
Life
thao
soo
tano
na
ma
idps
kabla
Annan
acome
Hizi
salamu
si
mpya,
jezi
tu
Dida
alitusho
hii
umati
ni
ka
raia
ya
ku
kimbiza
adida
Meanwhile
adida
kibao
mtaani
after
lamba
lolo
na
wamlambez
Maji
na
mimea
kwa
wingi
na
uja
komaa
Inaweka
brain
cells
kadhaa
kwa
coma
Hii
whine
whine
ina
lead
tu
pump
pump
Sasa
ume
kula
sweetie
bila
wrapper
Short...
notice...,
pampers
zita
itajika
soon
Uchumi
iko
down
Christmas
uko
Tuskys
uki
wrap
presents
Uki
look
back
wondering
kama
hizi
ni
penalties
za
takis
Them
dayz
base
diet
ulikua
moja
na
ya
mbuzi
Sahii
we
na
mtoi
juu
ya
mash,
meno
zime
beat
Rudisha
hiyo
beat
ni
vent
Vile
zina
ni
tramutize
siwezi
harmonize
Starting
convo
ndio
nia
si
mamia
A
better
society
iko
near
after
analysis
paralysis
Circle
ya
slum
dwelling
ime
enza
Ku
kata
maji
ku
epuka
reality
Ku
ingia
ni
rahisi
kutoka
blunder
Kila
kitu
ya
ku
kuaribu
at
your
disposal
Vijana
chipukizi
wana
self
medicate
P
T
S
D
jua
vitu
tume
witness
Back
then
vijana
ku
hustle,
Firestone
kadhaa
zili
shika
nare
Ni
sad
kucheki
mabuda
wakinunua
ngata
na
hawana
gari
Rudisha
hiyo
beat
ni
vent
Vile
zina
ni
tramutize
siwezi
harmonize
Starting
convo
ndio
nia
si
ma
mia
A
better
society
iko
near
after
analysis
paralysis
G.
O.
V.
A
ina
cheza
pata
potea
na
mali
ya
umma
Kwa
Fb
Machozi
ya
kitirika
Msee
ame
guezwa
kuni
jua
ya
kuchapia
waru
ku
feed
familia
Kila
jike
(G.
K)
ina
tega
scandal
na
umati
ina
starve
Hii
nonsense
tuna
need
ku
eradicate,
hizi
minds
tuna
ku
educate
Willing
buyer
willing
seller,
ime
wacha
our
society
landless
Goldenberg
since
when
tume
anza
ku
export
what
we
don't
have
Anglo
leasing
tume
zoea
ghost
workers
mpaka
tuna
buy
phantom
goods
SGR
naskia
tuli
lipa
30
percent
more
na
za
loan
But
wanjiku
ana
bargain
sokoni
hafiki
bei
Rudisha
hiyo
beat
ni
vent
Vile
zina
ni
tramutize
siwezi
harmonize
Starting
convo
ndio
nia
si
ma
mia
A
better
society
iko
near
after
analysis
paralysis
Headmaster
na
list
ya
names
ya
watu
hawa
jalipa
fees
Hold
up
just
think
how
embarrassing
it
is
for
these
kids
Balanced
diet
boarding
protein
usupplimentiwa
na
weavils
Kerosine
kwa
food
ku
tame
adolescence
You
didnt
know?
You
are
surprised
Students
wame
turn
dom
to
a
fire
place
Taking
a
knee
black
lives
matter
But
cheeks
moto
juu
ya
makofi
za
plain
cloths
But
hii
ndio
home
na
no
place
better
than
home
Long
live
the
254,
better
days
ahead
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.