Paul Clement - Mungu Halisi текст песни

Текст песни Mungu Halisi - Paul Clement



Ajabu imo ndani yako
Matendo yako sio bahati
Ni kamili si hadithi
Ukitenda umetenda Bwana Aah
Ajabu imo ndani yako
Matendo yako sio bahati
Ni kamili si hadithi
Ukitenda umetenda Bwana
Matendo yako yanatisha kama nini
Matendo yakoo yanaa tetemeesha
Aah aah aaaah aaaaaaaah
Ajabu imo ndani yako (oooh)
Matendo yako sio bahati
Ni kamili si hadithi
Ukitenda umetenda Bwana Aah
Ajabu imo ndani yako
Matendo yako sio bahati(eeeeh eeeeh eeeh)
Ni kamili si hadithi
Ukitenda umetenda Bwana Aah
Matendo yako yanatisha kama nini
Matendo yakoo yanaa tetemeesha
Bwana we si hadithi (uuuuuh
Wewe si simulizi(uuuh
Bwana wewe ni kweli
Uhai u milele wako
We si stori za kale (uuuuuuh
Za mababu wa zamani (uuuuuuh
Bwana wewe ni kweliii uhai, u milele wako(uuuuuuh
Bwana unazo nguvu
Bwanaaa unazoo nguvuu
Bwana unazo nguuuuuvuuu
Bwana wewe ndiwe Mungu
Huitaji matangazo wakujue
Matendo yako yanajieleza kuwa wewe ni kweli
Maishani mwetuuu
Bwana wewe ndiwe Mungu
Huitaji matangazo wakujue
Matendo yanajieleza kuwa wewe ni kweli
Kwenye maisha yetuuu
Bwana wewe ndiwe Mungu
Huitaji matangazo wakujue
Matendo yanajieleza kuwa wewe ni kweli
Ni kweliiii(Ni kweliiiii
Kwamba nguvu zako (ni kweliii
Si yanajieleza (ni kweliii
Kwamba matendo yako (ni kweliii
Yanajieleza siku hadi siku (ni kweliiii
Oooo uuuh wewe (ni kweliiii
Bwaaaaanaaa (ni kweli
Yanajieleza kwenye maisha yetu(Oooouuh oooouhhh
Yanajieleza kwenye uponyaji wetu (ooouuuohhhh
Yanajieleza kwenye kuinuliwa (ooooohh oooouuuhhh
Ooooooooouuuhhhhhh ooooooh
Hallelujah Jesus
We worship you Lord



Авторы: Paul Clement


Paul Clement - Usiyeshindwa
Альбом Usiyeshindwa
дата релиза
31-05-2020



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.