Текст песни Bibi na Babu - Professor Jay
Salam
babu
na
bibi
salam
bibi
na
babu
Ni
sisi
wajukuu
tunafanya
mpate
tabu
Maisha
ya
vijana
wa
leo
ya
ajabu
ajabu
Wengi
ni
wazinzi
na
wengi
hawana
adabu
Mwenendo
wa
vijana
wa
leo
wantia
ghadhabu
Jay
wa
miltulinga
a.k.a
mti
mkavu
Hekima
ya
wazee
kamwe
msiichezee
Tuzidishe
sala
tuwaombee
(heeyy)
Natizama
andiko
la
kweli
kwenye
vitabu
Wazee
wanaishi
miaka
mingi
ya
thawabu
Nasi
tunasubiri
siku
moja
wafunge
hesabu
Wangapi
tutakwepa
kifungo
cha
hiyo
adhabu
Vifo,
ngono,
mauaji
ulabu
Bado
najiuliza
ni
nani
mwenye
jawabu
Njia
bado
ni
panda,
Na
shetani
katanda
Utapata
jibu
ukiwa
ndani
ya
sanda
(mamaa)
Альбом
Machozi Jasho Na Damu
1 Mzee
2 Jr. Interlude
3 Langu
4 Dar Interlude
5 Dar es Salaam
6 Moyo
7 Nawakilisha
8 Intro
9 Jasho na Damu
10 Makofi
11 Bibi na Babu
12 Interlude
13 Tathimini
14 Bado
15 Outro
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.