Текст песни Habibi - Rayvanny
Mmmh
mashallah
Mama
mkwe
shikamoo,
huyu
mtoto
umetotoa
ni
balaa
Tumbo
si
la
kwashakoo,
shepu
linatukomoa
nyie
Mwenzenu
huku
kumbe
ninapendwa,
afu
hamsemi
Nyie,
mapenzi
yanapamba
moto,
amkeni
amkeni
Nahisi
udongo
wako
Mungu
alichanganya
viwili
Misheni
na
maziwa
kwa
mbali,
pilipili
Udaku
damu
wa
Makka
uzidi
kunawiri,
sura
yako
Kichwani
hakusita
kumiminia
akili
Moyo
wa
upendo
na
wenye
kusubiri
Shepu
kwa
hasira
kajaza
mara
mbili,
zawadi
yako
Aah
kupendwa
raha
mkipendana,
hakuna
karaha
Aaah,
napewa
raha
karibu
jeraha
Aah
Habibi,
habibi
Habibi,
habibi
Habibi,
habibi
I
love
you,
I
want
you
Habibi,
habibi
Habibi,
habibi
Habibi,
habibi
I
love
you,
I
want
you
Aahh
mmmh
Mahaba,
yananimwagikia
Nimekabwa,
hataki
niachia
Na,
kwake
nadekezwa
nadeka
Kina
fulani
wanakereketwa
Namuomba
Muumba
akulinde
malikia
Naomba
nisikukose
kwa
dunia
Wakikugusa
ni
mapanga
Tarime
Ya
tisa
ya
mie
mama
Dorime
Wasokupenda
waende
wakalime
Aah
kupendwa
raha
mkipendana,
hakuna
karaha
Aaah,
napewa
raha
karibu
jeraha
Aah
Habibi,
habibi
Habibi,
habibi
Habibi,
habibi
I
love
you,
I
want
you
Habibi,
habibi
Habibi,
habibi
Habibi,
habibi
I
love
you,
I
want
you
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.