Rayvanny - Magufuli Jembe текст песни

Текст песни Magufuli Jembe - Rayvanny



Jembe Jembe Jembe
Jembe Jembe Jembe
Tanzania ya leo inapendeza
Sababu ya Magufuli
Nidhamu kwa watumishi wa umma
Twahudumiwa vizuri
Rushwa imekomeshwa sio kama zamani
Siku hizi hata vigogo wanafikishwa mahakamani
Fikra nzuri za baba wa taifa kaendeleza hadi leo
Asilimia arobaini ya mapato kwa maendeleo
Mtu wa msimamo mataifa mengi yamekoma
Mikopo isio na tija na miradi feki amekoma
Alisema imekuwa sirikali sasa ipo Dodoma
Kajenga ikulu cha mwino na kaipiga teke Corona
Aya flyover TAZARA Ubungo, Ndio!
Standard gauge je? Ndio
Hospitali na zahanati? Ndio
Shule bure kwa wanafunzi? Ndio
Magufuli jembe
Linalima, linalima lima linalima
Magufuli jembe letu
Linalima, linalima lima linalima
CCM jembe
Linalima, linalima lima linalima
CCM jembe letu
Linalima, linalima linalima
Taifa nzima linamuombea mema Magufuli
Wakulima kawapigania walipwe vizuri
Wamachinga, wanampenda
Madereva, Wanampenda
Mama ntilie, wanampenda
Hadi watoto, wanampenda
Kina mama, wanampenda
Vijana na wazee, wanampenda
Hadi hadi wapinzani, wanampenda
Japo wanavunga, wanampenda
Haya maji na umeme hadi vijijini, Ndio!
Nidhamu serikalini, Ndio
Mambo nimetukwa toka juu hakuna, Ndio
Ndege kama zote, Ndio
Magufuli jembe
Linalima, linalima lima linalima
Magufuli jembe letu
Linalima, linalima lima linalima
CCM jembe
Linalima, linalima lima linalima
CCM jembe letu
Linalima, linalima linalima
Haya twende Pasha, pasha
Pasha, pasha pasha
Kina mama pasha, pasha
Pasha mikono pasha
Kina baba pasha, pasha
Pasha pasha pasha
Twendee
Magufuli, choma
Mama Samia, choma
Kassim Majaliwa, choma
Hadi mangula, choma
Haya twende pole pole, piga makofi
Mashiruali piga makofi
Dr Sheni piga makofi
Wigulu Chemba piga makofi
Makonda mikono juu
Kushoto kulia, kushoto kulia
Kibakwala mikono juu
Kushoto kulia, kushoto kulia
Mavunde mikono juu
Kushoto kulia, kushoto kulia
Tatulia mikono juu
Kushoto kulia, kushoto kulia
Peperusha bendera, aah bendera, madiwani wote
Peperusha bendera, aah bendera, wabunge wote
Peperusha bendera, aah bendera, kina mama wote
Peperusha bendera, aah bendera, CCM
Peperusha bendera, aah bendera



Авторы: Raymond Mwakyusa


Rayvanny - Magufuli Jembe
Альбом Magufuli Jembe
дата релиза
12-07-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.