Rayvanny - Nyamaza текст песни

Текст песни Nyamaza - Rayvanny



Weka pombe sigara chini subiri tuongee
Zima kijiti marijuana za nini? Ngoja tuongee
Mbona ulisema mengi ukitaka nipotee
Sa umefanya nini? Na ulisema nini wala usijitetee
Macho hayana pazia
Nilimwona navutia
Naye kanikubalia
Kumbe moyoni unaumia
Dunia imejaa visanga
Ubinadamu umekuwa majanga
Tembo amefungwa kwa banda
Anataka kula kuku pia na vifaranga
Mungu tu akusamehe
Wewe ni kama ndugu yangu
Upunguze ma ugali
Uadui wa nini mwenzangu we
Ukitenda kosa na haujaomba radhi unakosea (Kosea)
Mama yake mzazi huruma ungemwonea (Mwonea)
Chunga kinywa kiwe na kituo
Hekima ndo iwe funguo
Maneno ya nini? Unajivua nguo
Kumbuka ulimwengu ni kama chuo
Ungenyamaza, kaa kimya
Bora ungenyamaza kama huna la maaana
Ungenyamaza, ukikosa heshima
Bora ungenyamaza, bora kukaa kimya
Ungenyamaza, bora ungenyamaza
Bora ungenyamaza
Ungenyamaza tu, bora ungenyamaza
Kuwa muungwana
Mmmmh hasira hasara
Mimi ni ndugu yako kanitoa kafara
Ukakesha hukutaka kulala
Ukipambana niharibikiwe kaka wa Mtwara
Ukasahau mapenzi ni siri
Tena siri ya wawili
Kilichokuponza maadili
Tamaa ukashindwa isitiri
Tunza heshima yako
Na mashabiki zako wajivunge
Na unapotongoza warembo
Boxer usiweke pembeni
Macho hayana pazia
Nilimwona anavutia
Naye kanikubalia
Kumbe moyoni unaumia
Ukitenda kosa na haujaomba radhi unakosea (Kosea)
Mama yake mzazi huruma ungemwonea (Mwonea)
Chunga kinywa kiwe na kituo
Hekima ndo iwe funguo
Maneno ya nini? Unajivua nguo
Kumbuka ulimwengu ni kama chuo
Ungenyamaza, kaa kimya
Bora ungenyamaza kama huna la maaana
Ungenyamaza, ukikosa heshima
Bora ungenyamaza bora kukaa kimya
Ungenyamaza, bora ungenyamaza
Bora ungenyamaza
Ungenyamaza tu, bora ungenyamaza
Kuwa muungwana




Rayvanny - Nyamaza - Single
Альбом Nyamaza - Single
дата релиза
28-04-2021




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.