Rayvanny - Unaibiwa текст песни

Текст песни Unaibiwa - Rayvanny



Ayo, Lizer
Wasafi
Usidate na njonjo za mapenzi
Vicheko bandia usoni kudeka kumbe ana pretend-i
Maufundi toka Tanga na Zenji
Vionjo mitego unase ashike pochi umwage chenji
Anakuchanganya kiunoni shanga
Marashi kama uko peponi
Mtoto sauti kinanda
Ya kumtoa chatu pangoni
Ukishatafuna karanga
Hutaki hata aende sokoni
Anakuchuna mafaranga unabaki na vumbi mfukoni
Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi
"Baby me I like that"
Nakukupamba kwenye simu, video Snapchat
Kumbe hana maana hadi Mangi
Anamwita sweetheart
Kisa anakesha gym kutafuta six-pack
Unaibiwa, unaibiwa
Unaibiwa, unaibiwa
Kuna kina Rose visosa
Wale wapenda verosa
Ukipita na shati na moka
Lazima watashoboka
Wakiomba lift ogopa
Miguu dashboard vishoka
Mchunguze cheni goroka
Nywele na pochi kakopa
Eh
Usije kuyavamia yasije yakakutesa hawachelewagi kukimbia
Kuna wenzako wanalia walizani mapenzi pesa kwenye suruali vibamia
Hata ukimuonga Ferrari, hatokuona rijali
Wakati chumbani we beki ukifunga moja tu chali
Atakamatwa na mangangali
Vijana machachali
Hawachagui sehemu ya vita uvunguni na juu ya dali
Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi
"Baby me I like that"
Nakukupamba kwenye simu, video Snapchat
Kumbe hana maana hadi Mangi
Anamwita sweartheart
Kisa anakesha gym kutafuta six-pack
Unaibiwa, unaibiwa
Unaibiwa, unaibiwa
Unadhani niwapekeako
Kumbe wengine wameshaweka kambi
Kakupendea macho
Wapo wengine kawapendea rangi
′Ye ni gari la dampo
Hachagui taka dereva mpe ganji
Wakubadili sample
Akila mihogo karoti hazipandi
Unaibiwa, unaibiwa
Unaibiwa, unaibiwa



Авторы: Rayvanny


Rayvanny - Unaibiwa - Single
Альбом Unaibiwa - Single
дата релиза
12-09-2017




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.