Текст песни Mama - Saida Karoli , Rayvanny
Oh
garuko
garuko
garuke
Oh
garuke
mwana
wange
Oh
garuko
garuko
garuke
Oh
garuke
mwana
wange
Ayee
balindi
niwe
wanyu
Balindi
niwe
wanyu
Balindi
niwe
wanyu
Na
marefu
umepita
mwanangu
Tangu
umefunga
safari
yeah
yeah
Kurudi
nyumbani
uje
uone
hali
yangu
Nakosa
chumvi
sukari
yeah
yeah
Kila
siku
nakonda
kufikiria
sembe
Wapi
nitapata
mboga
familia
iende
Baba
yako
mgonjwa
hashiki
hata
jembe
Kutoka
'91
sina
kipya
kitenge
Kafukuzwa
shuleni,
mdogo
wako
Jane
Na
mengine
sisemi
maiyoo
Sikai
sebuleni
nikiona
wageni
Nakimbia
madeni
maiyoo
Nitarudi
mama,
mama
Nitarudi
mama,
mama
Nitarudi
mama,
mama
Nitarudi
mama,
mama
Nitarudi
mama,
mama
Nitarudi
mama,
mama
Heshima
yako
mama
Hukuwa
pole
na
baba
Mambo
yatakuwa
sawa
Sipendi
ukilalama
Kazi
zimenijaa
Nahustle
kupata
chapaa
Nitakuja
na
pesa
nyumbani
Sahau
kuhusu
dagaa
Si
unapendaga
pete
na
chain
Nitaleta
za
Gold
Mwambie
mdogo
wangu
Jane
Nitampeleka
boarding
Nitakujengea
nyumba
bondeni
Uache
kulipa
kodi
Nitakulipia
yote
madeni
Usigongewe
hodi
Mwambie
baba
asijali
Atapona
tutaenda
hospitali
Asilie
atakuwa
shwari
Siku
yake
ya
birthday
nitampa
gari
Machozi
yanilenga
Siku
zinakwenda
mama
Sala
zenu
wapendwa
Ndo
zitanijenga
sana
Sijawatenga
sikupigi
kalenda
mama
Mungu
akipenda
yote
nitatenda
mama
Naomba
unisubiri
nyumbani
Nitarudi
mama
mama
Nitarudi
mama,
mama
Nitarudi
mama,
mama
Nitarudi
mama,
mama
Nitarudi
mama,
mama
1 Sound from Africa
2 Tetema
3 Señorita
4 Kelebe (feat. Innoss'B)
5 Chuchumaa Remix (feat. Frenna)
6 Tingisha (feat. Aminux)
7 Number One Remix
8 Juju (feat. Zlatan Ibile)
9 Koroga
10 Rotate
11 Bebe (feat. Nasty C)
12 Baby (feat. Rowlene)
13 Bailando (feat. Messias Maricoa)
14 Twerk (feat. Vanessa Mdee)
15 Zuena
16 Lala
17 Mama
18 Kiuno
19 Marry Me
20 Zamani
21 Waongo
22 Juu
23 Woza
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.