Rich Mavoko feat. Diamond Platnumz - Kokoro текст песни

Текст песни Kokoro - Rich Mavoko , Diamond Platnumz



Intro
Wasafiii
Hayaa
Heyoo Laizer
Wasafi Records
1Me and u till i die
Babe Chimamy White Mmasai
Mzuri hadi ndani
I know you like Mumbai
Upo kama nyumbani
I can buy Hyundai
Haifiki Mwakani
Tena hujui poda wala
Hupaki mascara
Shape nyuma kigoda
Sauti kama ya stara
Una lips nyembamba
Toto la mujer de mi vida
Kiuno cha kuvaa khanga
Macho kama umenyonya weeda
Oooh babe
Aaaaaah
Girl i want to see
Aaaaaah
Ah babeee
Aaaaah ooh
Girl i want to see
Aaaaaahoh babeee
Asa kokoroooooooh kokoro
Asa kokoro babe
Asa kokoro
Eeeeeh kokoro
Anifinyie kwa ndani
Asa kokoroooooooh kokoro
Asa kokoro babe
Asa kokoro
Eeeeeh kokoro
Napendagaa
2Aaaaaaah Diana, Sister Diana
Mhhh Halima, sis Halima
Una pigo za ki lady Gaga
Nyuma laini kama burger
Zigo la kuvunja chaga
Kifaranga kimetaga
Kwanza mwanzi matata unavyosakata
Kiuno talanta mavi karata
Mjini Makata Avon Kamata
Bichwa nang'ata soka samatta
Eee eeeh
Mashallah mie kwake tafrani
Anavyonisasambua kama nguo mnadani
Aaaaaah yayaaa
Girl i want to see
Aaaaaah
Ah babeee
Aaaaah ooh
Girl i want to see
Aaaaaahoh babeee
Asa kokoroooooooh kokoro
Asa kokoro babe
Asa kokoro
Eeeeeh kokoro
Anifinyie kwa ndani
Asa kokoroooooooh kokoro
Asa kokoro babe
Asa kokoro
Eeeeeh kokoro
Napendagaa
3Mtoto ana pigo za tetere
Usiombe akichuma matembere
Ndizi anang'ata ka ngedere
Chumbani singeli segere
Ruuupdaa eeeeeh
Mashallah mie kwake tafrani eeeeh
Anavyonisasambua kama nguo mnadaniyayaaaiya
Yebaaaaa
Anadodoaaa anadodoa yeeih
Anadodoaaa aaaaahh anadodoa
Palaalilaaa anadodoa yeeih
Mashetani yamepandaa anadodoa
Binti kamwaga manyanga anadodoa
Mgonjwa anatibu mganga anadodoa
Anandondoka anadodoa
Mwenye nyumba kapanga anadodoa
Wingu limekuwa vanga anadodoa
Maiti amevuliwa sanda anadodoaooooh oooh
Hawatoweza



Авторы: Rich Mavoko


Rich Mavoko feat. Diamond Platnumz - Kokoro (feat. Diamond Platnumz) - Single
Альбом Kokoro (feat. Diamond Platnumz) - Single
дата релиза
25-11-2017

1 Kokoro



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.