Текст песни Kaweka - Rich Mavoko
Niwekeze
kwako
Upendo
nikope
Nilegeze
macho
Nilewe
hadi
kope
Mwenzio,
mwenzio
Nakitazama
kioo
Beiby
no,
beiby
no
Usitamani
lishoo
I
say(Kaweka)
Nikizungusha(Kaweka)
Nikiinuka(Kaweka)
Kalivyo
na
mizuka(Kaweka)
I
say
mama
yeah(Kaweka)
Nikibinuka(Kaweka)
Kanaipukuta(Kaweka)
Mpaka
kwa
ukuta(Kaweka)
Nipeleke
hadi
boda
Ikinasia
irudishe
Lugoba
Na
maungo
yamenoga
Iko
jasho
kama
mama
unakoga
Oya
change
siba
Change
siba
Nimalize
kabisa
mazima
Bora
nipe
...nipe...
Hadi
bashini
leo
navichuma
Ya
solo
Nipapase
kama
solo
Kwenye
chochoro
Iweke,
tomorrow
I
say(Kaweka)
Nikizungusha(Kaweka)
Nikiinuka(Kaweka)
Kalivyo
na
mizuka(Kaweka)
I
say
mama
yeah(Kaweka)
Nikibinuka(Kaweka)
Kanaipukuta(Kaweka)
Mpaka
kwa
ukuta(Kaweka)
Irudishe
kabisa
kwa
gamba
Iweke
kimyani
Ifikishe,
itoe
na
maganda
Uipe
maruani
Eeh
mzee
mkumbatie,
mng'ate
Naumkumbatie
datty
gote
Namkamatie,
mkamate
Mkumbatie
kotekote
Mbali
oooh
sheriee
Gari
limezima
kona
Hadithi
uwongo
na
kweli
Ili
niweze
kupona
Asa
nikokote
mpaka
Chamange
Chutama
nione
masinema
Na,
nakula
kuku
na
mtama
Uno
la
paka
chongo
la
kutekenya
Yeah(Kaweka)
Nikizungusha(Kaweka)
Nikiinuka(Kaweka)
Kalivyo
na
mizuka(Kaweka)
I
say
mama
yeah(Kaweka)
Nikibinuka(Kaweka)
Kanaipukuta(Kaweka)
Mpaka
kwa
ukuta(Kaweka)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.