Rich Mavoko - Lalama текст песни

Текст песни Lalama - Rich Mavoko



Ayaaaaaah...!
This is awesome
Kama ni bado hujapata zangu salamu
Basi kipenzi wangu sikia
Nahisi maumivu kwa ndani navuja damu
Punde si punde ntateketea
Lati unijibu wewe...
Kipendacho roho nyama mbichi unielewe
Usitupe jongoo na mti(Na Mti Nake Na Mti)
Umemsusa Uncle Aunt (Aunt yake Aunt)
Nazidi kukosa imani nilishawahi kuumizwa
Wivu hauna thamani unahisi naigiza
Kilicho baki ni kwangu tu
Kulalama Lalama Lalamaa
Nashindwa kujiunguza
Kulalama Lalama Lalamaa
Sababu yako tu mamy
Baby oooh mamy
I need u mamy
Baby ooh mamy
Basi ninyang′anye wanipunje
Ninavyokosa kukuona nakosa raha
Niende kwa mganga nikufunge
Huenda nitapona huu ukichaa
Kuipoteza Dhahabu bila sababu sioni
Labda niandike kitabu ninayo staajabu kwa mboni
Nakesha Nalia Nalia we Unajua
Nikipiga Unanikatia Unanikatia Mi Naumia.
Usitupe jongoo na mti(Na Mti Nake Na Mti)
Umemsusa Uncle Aunt (Aunt yake Aunt)
Nazidi kukosa imani nilishawahi kuumizwa
Wivu hauna thamani unahisi naigiza
Kilicho baki ni kwangu tu
Kulalama Lalama Lalamaa
Nashindwa kujiunguza
Kulalama Lalama Lalamaa
Sababu yako tu mamy
Baby oooh mamy
I need u mamy
Baby ooh mamy
Najua Unajua Nishamtuma Njiwa
Unajua baby sema ka naibiwa
Unajua oooh sema kama oooh
Baby...
Yeiyeeeeh iiih...
Baby...
Yeiyeeeh eeh.



Авторы: Rich Mavoko


Rich Mavoko - MiniTape
Альбом MiniTape
дата релиза
11-07-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.