Текст песни Mpoa - Rico Gang
Hook
Cheki
picha
vile
zinatambaa
tu
insta
Caption
si
zikifwatana
na
sticker
Nguo
si
zinafana
na
matching
sneakers
Eti
mkinyamaza
sisi
ndo
tunachachisha
Niko
na
mpoa
niko
na
mpoa
Niko
na,
siezi
mficha
juu
ni
mpoa
niko
na
Niko
na
mpoa
niko
na
mpoa
Siezi
mficha,
juu
ni
mpoaa
eeeehhh
*2
Harry
verse
Tunafanya
TikTok
pamoja,
madate
nazo
tukikula
pizza
sarova
Mamio
mio
tunapiga
dance
kuzitoka,
hatuna
mbio
ya
kusafishana
tukioga
Malate
night
calls,
tunalala
tu
saa
nane
Mamemes
na
majokes
kutumiana
kama
chwane
Malate
night
walks,
tukichomanga
kidale
Alafu
twa
twa,
tukifika
tu
kejani
Bro
uko
wapi,
kejani
na
mpoa
Unafanya
nini,
vitu
zangu
na
mpoa
Aki
mi
nauoa,
kwa
streets
alinitoa
Wazidi
tu
kuroroa
cheki
hawatatoboa
Triand
Niko
na
mpoa
yaani
niko
na
mnice
Na
sisi
ndio
MA
goals
tushakafunga
alright
Ulimshow
anisare
akaniambia
same
time
Na
sisi
huwasengenya
hio
tea
Ongeza
spice
Aki
babe
unanipenda
(ofcouse)
Ningekuwa
nyuki
ungenikiss
(ofcouse)
Aki
babe
hutanisare
(ofcouse)
Aki
babe
si
you
come
we
cuddle
(why
not)
ehh
Juu
pia
Kuna
vile
umenichizisha
pile
Mikono
tuzishike
tuwaboo
kwa
vile
Wanabonga
Sana
wanyamaze
silly
Niko
na
mfiti
siwezi
kudelay
Eeh
heeh
Mikono
juu
ka
unatafuta
mpoa
Mikono
juu
unapendanga
wapoa
Mikono
juu
uko
na
kamtu
poa
Mwenye
anaeza
kukachanganya
Adi
ufeel
poa*2

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.