Rostam feat. Maua Sama - Kibamia текст песни

Текст песни Kibamia - Rostam , Maua Sama



Oho uh yeh yeah Sama
Roma Roma Stamina Stamina (kill record)
Oh uh oh yeah yeah
It's Rostam baby (mbea)
Nimpende nani kati ya Roma au Stamina (oh uh oh)
Huku ama kule pananchanganya like (oh uh oh)
Nani ana faa la kwenye kitanda atanipa raha yeah
Sitaki kibamia, mwanaume mashine yeah
Yow, wape habari shoga zako mi na wewe mpaka kifo
Mi ndo kakako na wako
Usisite kunipa jicho na
Sitokupa talaka bila shaka unanifaa
Nikipiga shuti unadaka gizani bila ya taa mama
Acha maringo maa
Usiombee nkupate
Mi ndo kisiki cha mpingo na
Gusa unase
Niliyowaangusha juu ya ulingo walinipa asante
Nkiwachapa walishika fimbo na kuipakapaka mate
Nikikuona napata mzuka naruka nagaragara
Mama ukitakapeku ntatupa mpaka na ndala
Sio lazima uwe na chura kuumba ni kazi ya maulana
Kwakuwa sina safura chumvini ntazama sana
Ah, niikuhonge mali basi zidisha utungu
Nipe michezo hatari ninyonye mpaka-(Roma ma)
Mixa kabali na shingo chini ya uvungu
Na unapolala chali ndo wanantoka wazungu
Nimpende nani kati ya Roma au Stamina (oh uh oh)
Huku ama kule pananchanganya like (oh uh oh)
Nani ana faa la kwenye kitanda atanipa raha yeah
Sitaki kibamia, mwanaume mashine yeah
We ndo pumzi yangu mama
Tena ntandanja
We ndo mjuzi wangu kifaa
We ndo kiwanja
Napiga milusi kama kichaa iliyekula ganja
Nipe nichane nyuzi nikandamize kama masanja
Siitaji mchuzi wa pweza
Tukiwa chumbani
Wala mtongo wa mzee teza sitoutumia hakiyanani
Nitakupa mapenzi na kila kitu utakacho
Ila nyumba na benz kiukweli vianitoa jasho
Achana na huyu mliguru njoo kwangu nikusitiri
Hafugiki ka kunguru
So jaribu kufikiri
Maana umepewa uzuri ila
Bila akili ni sifuri
Na zitakazoumia ni sehem za (siri)
Achana na huyu Mdigo asiyejua maana ya kupenda
Mama Ivany mwenyewe kamchoka anataka kwenda
Sina kicheche cha kando wewe kwangu ndo bao la ushindi
Mama mwanaume mipango mashine yaachie mahindi
Nimpende nani kati ya Roma au Stamina (oh uh oh)
Huku ama kule pananchanganya like (oh uh oh)
Nani ana faa la kwenye kitanda atanipa raha yeah
Sitaki kibamia, mwanaume mashine yeah
Oh yeah
Uh baby, uh baby, baby baby
Nimpende nani, nimpende nani
Let's take over the game



Авторы: Rostam


Rostam feat. Maua Sama - Kibamia
Альбом Kibamia
дата релиза
28-11-2017



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.